Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #21
Sio kila kitu ni marketing, jee unaijua excellium ni nini na inafanya nini kwenye gari yako?.Hizo ni Marketing blah blah.
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kila kitu ni marketing, jee unaijua excellium ni nini na inafanya nini kwenye gari yako?.Hizo ni Marketing blah blah.
Heshima kitu cha bure, sisi Wasukuma ni watu wenye heshima sana. Hivyo kwa heshima naomba nisimtaje.Yupi huyo aliulizwaga hivi akajibu vile?
You just proved me right
Sasa bila marketing kuna biashara inafanyika?Sio kila kitu ni marketing, jee unaijua excellium ni nini na inafanya nini kwenye gari yako?.
P
Mafuta ya total yanawahi sana kuisha kwenye gari, niamini mimi.Ni kweli, bei ya mafuta ya Total yako juu kidogo, ila hata kwenye mafuta, kuna mafuta na mafuta, kwa wanaujua the economics of scales, hawaangalii bei ya kitu, wanaangalia ubora. Mafuta ya Total yenye kiambata cha Total Excellium, they are the best, very efficient, na very economical. Nilikuwa nikienda Moshi kwa gari yangu, najaza mafuta full tank Dar, nikifika Segera, naongeza maana geji inaonyesha below half tank. Juzi kati, during X-mass time, nimejaza full tank pale Total Tegeta, amini usiamini nimefika Segera geji haijafika half tank, hivyo nimekwenda hadi Moshi. Since then, kituo changu ni Total, nikikosa, then PUMA, ndipo nijaza vituo vingine.
P.
Kama yule aliulizwa anatoa wapi uhalali huu na akajibu maana ya jina ya muuliza swali au?Ukiulizwa swali, si unajibu lile lenye jibu, lile ambalo halina jibu unanyamaza, au unataka na mimi nijibu tuu kama yule aliyeulizwa hivi, halafu anajibu vile?.
P.
🤣🤣🤣Daaah ningelipwa pesa zangu za korosho ningeenda mapema.Lakini mambo yamenigeukia korosho zangu nimerejeshewa.View attachment 1021899
Sent using Jamii Forums mobile app
Anamkataba nao, namwonaga kule YouTube anavyochakarika.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Anamkataba nao, namwonaga kule YouTube anavyochakarika.
Wanabodi,
Leo ni Sikukuu ya Wapendanao ya Valentine.
Happy Valentine's Wapendwa Wote
Katika kusheherekea Sikukuu hii, Kampuni ya Mafuta ya Total imeamua kutoa zawadi ya Valentine kwa wateja wake wote.
Unachotakiwa kufanya ni kujaza mafuta katika kituo chochote cha mafuta cha TotalEnergies, utapatiwa punguzo kwa kila lita utakayo jaza, na kama umekuja na wife, au mpenzi, mwambie akaingie duka la Bonjour lililoko kwenye kila kituo cha TotalEnergies, akajichukulie zawadi yake ya upendo wa Valentine kutoka Total.
Thamani ya mafuta ya Total ni kitu kinachoitwa Total Excellium. Hizi ndizo faida za excellium.
Diesel PREMIER - EFFIMAX
Petrol PREMIER - EFFIMAX
EXCELLIUM - EVOLUTION Diesel
EXCELLIUM - EVOLUTION 98
Benefits of EXCELLIUM
BENEFITS OF EXCELLIUM
Excellium benefits
1. Better engine protection (1)
TOTAL EXCELLIUM is an enhanced fuel:
It protects against corrosion.
It avoids the ageing of the fuel as well as deposits in the tank.
It limits the wear on the engine's sensitive parts.
2. Less consumption (1)
TOTAL EXCELLIUM makes it possible to obtain an average fuel consumption reduction of 3.7% based on the conditions (city, road…):
From the first fill-ups, it cleans your engine and helps to keep it clean.
It limits internal friction.
3. Less CO2 (1)
TOTAL EXCELLIUM reduces polluting emissions:
It provides for better combustion.
It reduces CO2 emissions thanks to reduced fuel consumption.
For comfort…
TOTAL EXCELLIUM Diesel offers quieter driving thanks to its high cetane number.
TOTAL EXCELLIUM Diesel foams less and makes filling easier.
Kipindi Maalum cha Total Valentine.
P.
Wanabodi,
Leo ni Sikukuu ya Wapendanao ya Valentine.
Happy Valentine's Wapendwa Wote
Katika kusheherekea Sikukuu hii, Kampuni ya Mafuta ya Total imeamua kutoa zawadi ya Valentine kwa wateja wake wote.
Unachotakiwa kufanya ni kujaza mafuta katika kituo cha mafuta cha Total, utapatiwa punguzo la TZS 70 kwa kila lita utakayo jaza, na kama umekuja na wife, au mpenzi, mwambie akaingie duka la Bonjour lililoko kwenye kila kituo cha Total, akajichukulie zawadi yake ya upendo wa Valentine kutoka Total.
Thamani ya mafuta ya Total ni kitu kinachoitwa Total Excellium. Hizi ndizo faida za excellium.
Diesel PREMIER - EFFIMAX
Petrol PREMIER - EFFIMAX
EXCELLIUM - EVOLUTION Diesel
EXCELLIUM - EVOLUTION 98
Benefits of EXCELLIUM
BENEFITS OF EXCELLIUM
Excellium benefits
1. Better engine protection (1)
TOTAL EXCELLIUM is an enhanced fuel:
It protects against corrosion.
It avoids the ageing of the fuel as well as deposits in the tank.
It limits the wear on the engine's sensitive parts.
2. Less consumption (1)
TOTAL EXCELLIUM makes it possible to obtain an average fuel consumption reduction of 3.7% based on the conditions (city, road…):
From the first fill-ups, it cleans your engine and helps to keep it clean.
It limits internal friction.
3. Less CO2 (1)
TOTAL EXCELLIUM reduces polluting emissions:
It provides for better combustion.
It reduces CO2 emissions thanks to reduced fuel consumption.
For comfort…
TOTAL EXCELLIUM Diesel offers quieter driving thanks to its high cetane number.
TOTAL EXCELLIUM Diesel foams less and makes filling easier.
Kipindi Maalum cha Total Valentine.
P.
Nenda fasterHappy Valentine's day!.
Totalenegies kama kawaida yao, pita jaza ujazwe!.
Kwa watu wa bagamoyo rd, mambo yote totalenegies Oyster Bay Service Station.
P
Sisi wa Malamba mawili wanatoa ofa au ni uko kwa wenye vitambiHappy Valentine's day!.
Totalenegies kama kawaida yao, pita jaza ujazwe!.
Kwa watu wa bagamoyo rd, mambo yote totalenegies Oyster Bay Service Station.
P