Leo ni Valentine: Jaza mafuta kituo cha Total, upate Zawadi ya punguzo la bei ya mafuta.

Mafuta ya total yanawahi sana kuisha kwenye gari, niamini mimi.
 
Ukiulizwa swali, si unajibu lile lenye jibu, lile ambalo halina jibu unanyamaza, au unataka na mimi nijibu tuu kama yule aliyeulizwa hivi, halafu anajibu vile?.
P.
Kama yule aliulizwa anatoa wapi uhalali huu na akajibu maana ya jina ya muuliza swali au?
 
Hii ni testimonial ya baadhi ya madereva kuhusu ubora wa mafuta ya Total Excellium.

Video Clip ni madereva wafuatao wamehojiwa na kuzungumzia mafuta ya Total

1. Victor Mabinza

2. Shabani Jumanne

3. Jubilete Mushi

4. Fredi Mihayo-Meneja Total Clock Tower

5. Ifkhar Mohammed

6. Simon Raphael Kameta

7. Tumaini Mtey

8. Rose Mmasi-Meneja Total Oysterbay

P.
 
Leo ni Valentine Day, mambo yote ni vituo vya mafuta vya TotalEnergies .
Happy Valentines!.
Paskali
 
Happy Valentine's day!.
Totalenegies kama kawaida yao, pita jaza ujazwe!.
Kwa watu wa bagamoyo rd, mambo yote totalenegies Oyster Bay Service Station.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…