Leo ni yanga

Leo ni yanga

Chambusiso

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2007
Posts
2,592
Reaction score
4,640
Kila kitu tushasahau na single channel mind zetu tayari! Itakuwa gamond for 2 weeks kila kona nchi nzima then fahamu zetu ndio zitarudi tusubiri toleo lingine la maigizo tena. Mungu atuhurumie tu (kama yupo na anaona)
 
Ccm wanafurahia mno, sasa hivi macho yoooote na masikio yoooooooteee ni kwa Yanga.

Watavuruga uchaguzi wa serikali za mitaa, kisha watapata "ushindi wa kishindo" 🤣🤣🤣
 
Screenshot_20241115-145746~2.jpg
 
Back
Top Bottom