Kosa lake nini mkuu? Dark web kuna mambo mengi sana,biashara haramu zote zimejaa hukoKUWA MAKINI MKUU KATIKA KU-EXPOSE VITU KAMA HIVI.
SHAURI YAKO.
ESCROW SAFE
Kwa msiofahamu mambo ya tovuti kuna upande mwengine unaitwa Dark web huko kuna kila aina ya uchafu ambao ushindwe wewe.
Kwa matukio ambayo yanatokea nchini na wahusika wakijulikana wakiwa vitengo na salama na familia zao kwa nini tusitumie dark web kununua hitman na wengine mpaka wanaweka CV zao walifanya wapi.
Wanapaka menu unataka wafanye nini kwa bei unayotaka.
Ingia u bargain wewe mwenyeweBei gani?
Inaweza kufika mahali, wananchi wakaamua kutumia hii njia. Nchi inaongozwa na watu wasio tumia akili kabisa na wanatesa wanaochapa kaziHakuna wenye akili njema,weledi,staha,uvumilivu na utu wema huko Dark-web" tuwakodi watuendeshee nchi kwa angalau miongo mitati tu?Tutawalipa "pekeji" nzuri tu.
Humo ndipo serikali ya ccm inatafuta wawekezaji mafisadi kupitia hiyo darkweb
Hawa utawalipa wasije wala nini...wauwaji wakweli tupo nao kanisani na misikitini ila wanacharanga watu kama vile wanacharanga kuku, rejea vifo vya maalibino yule dada yetu wa ugavi GGM...wahusika wengi hawajui hata Dark net nini πKwa msiofahamu mambo ya tovuti kuna upande mwengine unaitwa Dark web huko kuna kila aina ya uchafu ambao ushindwe wewe.
Kwa matukio ambayo yanatokea nchini na wahusika wakijulikana wakiwa vitengo na salama na familia zao kwa nini tusitumie dark web kununua hitman na wengine mpaka wanaweka CV zao walifanya wapi.
Wanapaka menu unataka wafanye nini kwa bei unayotaka.
View attachment 3330831