kuna tafiti zinaonyesha hitman wengi wa kukodi wanapatikana tabora,mipakani mwanchi.Hizi kesi nimekutana nazo polisiHawa utawalipa wasije wala nini...wauwaji wakweli tupo nao kanisani na misikitini ila wanacharanga watu kama vile wanacharanga kuku, rejea vifo vya maalibino yule dada yetu wa ugavi GGM...wahusika wengi hawajui hata Dark net nini 🙌
Million 2 tu unawekwa chini ya udongo 🙌kuna tafiti zinaonyesha hitman wengi wa kukodi wanapatikana tabora,mipakani mwanchi.Hizi kesi nimekutana nazo polisi
Waulize BYBIT kampuni ya kuweka pesa za sarafu walivyo lizwa matrioni ya USD.Sio kila mtu anaweza kujua tovuti kuna watu ndio idara zao na kazi zao.Sawa unaweza kujipitisha huko kidole juu huku unajiona umewin ila nikuambia hakuna sehem Ina maafisa usalama wa CIA FBI na wengineo kama huko..na wengi ni computer nerds wanaweza kujua hata mapumbu yako yaliko kwa muda huu..
Ni kweli ila na wao secret service wanaajiri magwiji wengine tena walikua wahalifu wanawatumia Sasa kuwatambua wahalifu wengine..sisemi kua hakuna maguru wa kupiga madili ya haramu ila sasa ni kua makini mana macho ya FBI na wenzao wako makini kama bundi wanarandaranda huku na huko humo ukijichanganya tu baasWaulize BYBIT kampuni ya kuweka pesa za sarafu walivyo lizwa matrioni ya USD.Sio kila mtu anaweza kujua tovuti kuna watu ndio idara zao na kazi zao.
Mambo haya dunia ina watu ambao akili yangu au yako inaweza kuzidiwa.
Mambo ya teknolojia hakuna mubabe ndugu ndio maana na fatilia sana haya.Unafahamu hiyo kamera ya mbele ya simu yako ishakujua wewe sura yako na taarifa zako watu wanazoNi kweli ila na wao secret service wanaajiri magwiji wengine tena walikua wahalifu wanawatumia Sasa kuwatambua wahalifu wengine..sisemi kua hakuna maguru wa kupiga madili ya haramu ila sasa ni kua makini mana macho ya FBI na wenzao wako makini kama bundi wanarandaranda huku na huko humo ukijichanganya tu baas
Hii ni browser gani au ni nini ...elezea kidogoInategemeana na walivyoitumia wao,iyo darkweb inategemeana na unavyoitumiaView attachment 3330852
Ndiyo maana ikaitwa dark web kama isinge kuwa hivyo hao maafisa wa usalama wasinge tia kambi hukoSawa unaweza kujipitisha huko kidole juu huku unajiona umewin ila nikuambia hakuna sehem Ina maafisa usalama wa CIA FBI na wengineo kama huko..na wengi ni computer nerds wanaweza kujua hata mapumbu yako yaliko kwa muda huu..
Ni sawa. Sasa ukisema unawaambia watu kua wawe free sjui kuajiri assassins ndio nakuambia sio jambo rahisi kabisa Hilo ..humo sio wako wahalifu hata watu wa usalama interpol..Yan kwamba wahalifu waachwe tu humo sababu ni dark web..jichanganye uone unavyodakwaMambo ya teknolojia hakuna mubabe ndugu ndio maana na fatilia sana haya.Unafahamu hiyo kamera ya mbele ya simu yako ishakujua wewe sura yako na taarifa zako watu wanazo
Kwa steji gani tuliyofika kuizidi USA.Ni sawa. Sasa ukisema unawaambia watu kua wawe free sjui kuajiri assassins ndio nakuambia sio jambo rahisi kabisa Hilo ..humo sio wako wahalifu hata watu wa usalama interpol..Yan kwamba wahalifu waachwe tu humo sababu ni dark web..jichanganye uone unavyodakwa
Wewe unaonekana bado hujui magendo yanavyofanyika duniani.Danganywa na hiyo mitandao ukazaini niwewe mwenyewe ndiyee unayeijua.Kwa steji gani tuliyofika kuizidi USA.
Wewe unapenda kuona kwa mazingira haya TZ ina akili kubwa.
Unakumbuka kipindi cha makonda alivyo gundua kuna watu wanaorder madawa ya kulevya yanafika TZ na kuwekewa GPs.
Kumbuka hizo taarifa zimetoka kwa masnitch sio usalama wala ilo jeshi la polisi
Wanategwa watu wajichanganye. Hakuna layman anaweza kuwa na uwezo wa kuingia huko kisha awe lazy hata kuexpose hizi mambo.KUWA MAKINI MKUU KATIKA KU-EXPOSE VITU KAMA HIVI.
SHAURI YAKO.
Moderator kwa usalama wa huyu mwamba futeni huu uzi
Hata mimi mwanzo nilizani ni hivyo, Ila Kabla jua kuzama nenda kaangalia documentary ya Black Market dispatch episode 4.. Ndio utajua ulichoandika hapa ni hisia zako binafsi hazina ukweli na kazi ya FBI kwenye kumpamba na Biashara haramu kupitia darkwebSawa unaweza kujipitisha huko kidole juu huku unajiona umewin ila nikuambia hakuna sehem Ina maafisa usalama wa CIA FBI na wengineo kama huko..na wengi ni computer nerds wanaweza kujua hata mapumbu yako yaliko kwa muda huu..