NI udaku tu ndio unakusumbua hakuna hata dharura!Ni kama wiki hivi tumekuwa tukifurahia umeme hata kipindi hiki cha mvua zinazoambatana na upepo. Nikasema, hapa sasa serikali imemaliza hii kero ya kukatika umeme.
Nikapanga jumapili hii basi niandike message yangu kuipongeza serikali. Kabla sijaandika nikasema niangalie kama umeme upo. Si nikakuta wamekata.
Siku hizi Hawaiti mgao wanaita upungufu.Ni kama wiki hivi tumekuwa tukifurahia umeme hata kipindi hiki cha mvua zinazoambatana na upepo. Nikasema, hapa sasa serikali imemaliza hii kero ya kukatika umeme.
Nikapanga jumapili hii basi niandike message yangu kuipongeza serikali. Kabla sijaandika nikasema niangalie kama umeme upo. Si nikakuta wamekata.
Yaani acha tu mkuu😀Kwahy wamekufanyia surprise 😂
Ktk hili mbunge mnamuonea tu. Mbunge hakusanyi kodi wala hana fungu la barabara.
Tanroad ama Tarura ndiyo muwatafute na kuwalaumu. Na hawa hawasimamiwi na mbunge.
Amkeni watanzania acheni ujinga
Wanakosea maana wengi hawajielewi.Umewahi kusikia ahadi za wabunge kwenye kampeni zao?
Sasa kazi ya TANESCO ni nini !.Katika interview zao zote wanatazama sana kama una uwezo wa kukata umeme kwa haraka.Ni kama wiki hivi tumekuwa tukifurahia umeme hata kipindi hiki cha mvua zinazoambatana na upepo. Nikasema, hapa sasa serikali imemaliza hii kero ya kukatika umeme.
Nikapanga jumapili hii basi niandike message yangu kuipongeza serikali. Kabla sijaandika nikasema niangalie kama umeme upo. Si nikakuta wamekata.
Wanakosea maana wengi hawajielewi.
Huku bado unakatika siku hizi unakatwa usiku, kila baada ya saa unakatwa na kuwashwa.Ni kama wiki hivi tumekuwa tukifurahia umeme hata kipindi hiki cha mvua zinazoambatana na upepo. Nikasema, hapa sasa serikali imemaliza hii kero ya kukatika umeme.
Nikapanga jumapili hii basi niandike message yangu kuipongeza serikali. Kabla sijaandika nikasema niangalie kama umeme upo. Si nikakuta wamekata.