Leo nilikuwa nipeleke barua ya posa ila nilivyofika chuo cha Ushirika Moshi nimeingia mitini

Je watakuwa na mapenzi ya dhati, je watakuwa waaminifu?... Labda Kama kaweka swala la kuoa pembeni na kaamua kujikita kutafuna wanaushirika Hadi wazuri wote waishe.

Mapenzi ya dhati ni kwa mama’ke tu.
 
Kiukweli ukitembea kwa mguu Kutoka KCMC uwe unapandisha juu kule hadi kwenye mashamba ya kahawa pisi unazopishana nazo zinaweza kukusababishia msongo wa mawazo.... Ile barabara Ina pisi kali sana....
 
Bora kumwamini nguruwe kuliko mtanzania
 
Hamna tofauti na wapare. Natamani nikuone utakavyokua na tumbo kubwa na mgongo kaa shina la mwembe. Mnanifurahisha sana wanyaki ila rohoni mpo wazuri sana
[emoji3][emoji3][emoji3]kweli kabisa..tumbo Kama mcheza sumo..tako flat kabisa....sura ya baba..kinachonitambulisha wakike Ni nyonyo la kilo 10..

Nikitembea na bby anasema tangulia tutakutana round about [emoji16]
 
Chuoni wanatoka.mikoa mbali mbali hadi Mtwara na Mara wapo
 
1) Wanyaturu= Singida
2) Wanyamwezi= Tabora
3) wapemba= Pemba
4) Wahaya= Bukoba
5 Wahehe= Iringa
6 Wazigua=Tanga
7 Wambulu= Manyara na Arusha
8 Wasukuma= Mwanza
9 Wazaramu = Dar es-Salaam

Ukitaka kuona PISI KALI nenda hiyo mikoa

Aisee upo makin na Tanzania ni kubwa sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mi nipo Rwanda mkuu, pisi za huku uwezi kufananisha na ivyo vinyago vya Moshi MAZIWA makubwa MIGUU meyembamba wanaenda mbele kama wanarudi nyuma

Kwa kifupi PISI za Moshi ni SHAPELESS
Kwaiyo uwezi kuziweka kwenye kundi la PISI KALI
Unaelekea uu mkazi wa moshi .
 
Huyu Mwamba kawachanganya sana..yeye mwenyewe katulia anawacheki tu anasema heeeheee......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…