Leo nilikuwa nipeleke barua ya posa ila nilivyofika chuo cha Ushirika Moshi nimeingia mitini

Leo nilikuwa nipeleke barua ya posa ila nilivyofika chuo cha Ushirika Moshi nimeingia mitini

Mi nipo Rwanda mkuu, pisi za huku uwezi kufananisha na ivyo vinyago vya Moshi MAZIWA makubwa MIGUU meyembamba wanaenda mbele kama wanarudi nyuma

Kwa kifupi PISI za Moshi ni SHAPELESS
Kwaiyo uwezi kuziweka kwenye kundi la PISI KALI
😭😭😭
 
Nitajie hiyo Mikoa mkuu ? au we pisi kali mpaka awe na tako kama la sanchi ? manake mosh kama unataka matako kama watu wa mbeya haiwezekan, na miguu ya bia kule hakuna, kule kuna rangi na shepu kidogo
1) Wanyaturu= Singida
2) Wanyamwezi= Tabora
3) Wapemba= Pemba
4) Wahaya= Bukoba
5 Wahehe= Iringa
6 Wazigua=Tanga
7 Wambulu= Manyara na Arusha
8 Wasukuma= Mwanza
9 Wazaramu = Dar es-Salaam

Ukitaka kuona PISI KALI nenda hiyo mikoa.
 
1) Wanyaturu= Singida
2) Wanyamwezi= Tabora
3) wapemba= Pemba
4) Wahaya= Bukoba
5 Wahehe= Iringa
6 Wazigua=Tanga
7 Wambulu= Manyara na Arusha
8 Wasukuma= Mwanza
9 Wazaramu = Dar es-Salaam

Ukitaka kuona PISI KALI nenda hiyo mikoa
Kuhusu Iringa naomba niache Al-Jazeera mkuu 😂😂😂 nashuka!
 
Aisee! Asikuambie mtu Moshi kuna warembo..

-Leo nilikuwa Moshi kwa tukio la kihistoria la kupeleka barua na kujitambulisha kwa wazee wa binti, ila wakati nikitembea mitaani nikitazama mandhari ya jiji la Moshi nikajikuta nimetokea maeneo ya Chuo cha Ushirika Moshi salalee kuna watoto wakali balaa na kilicho nipeleka huko nikaghairi, naona kuna pisi zina viwango kiasi kwamba yule nae enda kujitambulisha kwao nighairi kwanza..
Hizi hizi pisi za kichaga mnazo zikejeli kwamba hazina msambwanda?
 
Hizi hizi pisi za kichaga mnazo zikejeli kwamba hazina msambwanda?
Hahaha hawa jamaa hawapo serious, watu wamechanganya damu sana sikuhizi Pisi za kichaga zenye mizigo na miguu ya bia zipo pia. Kuna HYBRiD sana hasa zinazotoka machame ni hatari na nusu 😂😂😂
 
Hivi suala la kuoa likibakia kwa wanaume wenye akili tu, wengine matapungukiwa na nini?
 
Moshi hakujawahi kuwa na pisi kali labda hao ni wageni wa kutoka mikoa mingine wamekuja huko kwa ajili ya kusoma tu,ni wale wale wenye miguu kama fito au wengine?
Mmekariri sana, tangu waamue kuchanganya damu ni visu asikwambie mtu. We njoo Moshi ujionee, usibaki kukariri vitu ulivyosimuliwa miaka ya 40 huko.
 
Hahaha hawa jamaa hawapo serious, watu wamechanganya damu sana sikuhizi Pisi za kichaga zenye mizigo na miguu ya bia zipo pia. Kuna HYBRiD sana hasa zinazotoka machame ni hatari na nusu [emoji23][emoji23][emoji23]
Naona mkuu unatetea chagua lako kwa Hali na Mali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom