Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Atakuwa anajiamini Ana convincing power...Sio Domo zege Kama Behaviourist
Siyo swala la domo zege '' bali ni swala la huyo demu kumuona kama ni mtu sahihi kwake, siyo rahisi kihivyo labda kama ana kitu ambacho hao mademu wanatafuta kwa mwanaume, na yeye atokee kuwa huyo mwanaume wanayetafuta, vinginevyo ajitayarishe kupigwa kalenda na kusumbuliwa sana bila ya mafanikio...