Leo nilikuwa nipeleke barua ya posa ila nilivyofika chuo cha Ushirika Moshi nimeingia mitini

Leo nilikuwa nipeleke barua ya posa ila nilivyofika chuo cha Ushirika Moshi nimeingia mitini

Hahahaaaa pole sana, una safari ndefu sana kuelekea kuoa. By the way Bila hata picha tutaaminije sasa!?
 
Uwepo wa pisi kali siyo ishu, ishu ni kwamba je watakukubali ? Kwa maana nyingine je, hao pisi kali na wao watakuona hivyo pia ? Hilo ndiyo muhimu, angalizo tu usjije poteza vyote, ila kuota ruhusa, ...
Je watakuwa na mapenzi ya dhati, je watakuwa waaminifu?... Labda kama kaweka swala la kuoa pembeni na kaamua kujikita kutafuna wanaushirika hadi wazuri wote waishe.
 
Back
Top Bottom