Leo nilikuwa nipeleke barua ya posa ila nilivyofika chuo cha Ushirika Moshi nimeingia mitini

Niko hapa mitaa ya rau napata huduma kutoka hapo chuo Mara nyingi
 
Moshi hakujawahi kuwa na pisi kali labda hao ni wageni wa kutoka mikoa mingine wamekuja huko kwa ajili ya kusoma tu,ni wale wale wenye miguu kama fito au wengine?
Hilo la wamekuja kusoma au kuzurura utajua ww ila mm ninachojua pisi za moshi ni kali....... kwa mtu ambaye hana staha anaweza kupita hata na vitoto vya form 3 achana hata na hao wa chuo
 
Pisi za kichaga zilikukataa wewe sio bure,
 
Hilo la wamekuja kusoma au kuzurura utajua ww ila mm ninachojua pisi za moshi ni kali....... kwa mtu ambaye hana staha anaweza kupita hata na vitoto vya form 3 achana hata na hao wa chuo
Mwambie akuorodheshee macelebrate wa Tano wakali wa kike anao wajua bongo movei flovour na kwingineko
 
Mi nimesoma Moshi sana,wadada wa kichaga ni wazuri ila wanadanganyika kijinga sana,ni mboga hawana uaminifu.Moshi ndo nilishangaa mtu wa kawaida na mvuta bangi anakula demu mkali kuliko Wema Sepetu
Wema huyu huyuau mwingine? Hafai kutumika kama kielelezo cha pisi kali
 
Kama unataka pisi za chuo jenga kwanza urafiki na madereva bodaboda maan hao ndo wanaowatambua vizuri mabint wa vyuo mzeeh. Fucous kwenye goals zako hizoo sura za kirembo zisikubabaishe mkuu
 
Picha zao tafadhali
 
Aiseee kaoe ushirika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…