Leo nilikuwa nipeleke barua ya posa ila nilivyofika chuo cha Ushirika Moshi nimeingia mitini

Mematic_meme_20201119_175516.png
 
Niko hapa mitaa ya rau napata huduma kutoka hapo chuo Mara nyingi
 
Moshi hakujawahi kuwa na pisi kali labda hao ni wageni wa kutoka mikoa mingine wamekuja huko kwa ajili ya kusoma tu,ni wale wale wenye miguu kama fito au wengine?
Hilo la wamekuja kusoma au kuzurura utajua ww ila mm ninachojua pisi za moshi ni kali....... kwa mtu ambaye hana staha anaweza kupita hata na vitoto vya form 3 achana hata na hao wa chuo
 
Bullshit, wacha kujifurahisha mkuu. Moshi kuna wasichana wa kubahatisha na ukimuona mzuri basi atakuwa ana kasoro fulani, kama meno kuoza, miguu membamba, tako kubwa ila sura mbovu, yaani si ya kuridhisha. Maziwa makubwa sura nzuri, sura nzuri ila ni mnywa mbege kishenzi. Pale chuo cha Ushirika walio wengi si wa pale Moshi, unatambua hiyo?
Pisi za kichaga zilikukataa wewe sio bure,
 
Hilo la wamekuja kusoma au kuzurura utajua ww ila mm ninachojua pisi za moshi ni kali....... kwa mtu ambaye hana staha anaweza kupita hata na vitoto vya form 3 achana hata na hao wa chuo
Mwambie akuorodheshee macelebrate wa Tano wakali wa kike anao wajua bongo movei flovour na kwingineko
 
Mi nimesoma Moshi sana,wadada wa kichaga ni wazuri ila wanadanganyika kijinga sana,ni mboga hawana uaminifu.Moshi ndo nilishangaa mtu wa kawaida na mvuta bangi anakula demu mkali kuliko Wema Sepetu
Wema huyu huyuau mwingine? Hafai kutumika kama kielelezo cha pisi kali
 
Aisee! Asikuambie mtu Moshi kuna warembo..

-Leo nilikuwa Moshi kwa tukio la kihistoria la kupeleka barua na kujitambulisha kwa wazee wa binti, ila wakati nikitembea mitaani nikitazama mandhari ya jiji la Moshi nikajikuta nimetokea maeneo ya Chuo cha Ushirika Moshi, salalee kuna watoto wakali balaa na kilichonipeleka huko nikaghairi, naona kuna pisi zina viwango kiasi kwamba yule naeenda kujitambulisha kwao nighairi kwanza..
Kama unataka pisi za chuo jenga kwanza urafiki na madereva bodaboda maan hao ndo wanaowatambua vizuri mabint wa vyuo mzeeh. Fucous kwenye goals zako hizoo sura za kirembo zisikubabaishe mkuu
 
Aisee! Asikuambie mtu Moshi kuna warembo..

-Leo nilikuwa Moshi kwa tukio la kihistoria la kupeleka barua na kujitambulisha kwa wazee wa binti, ila wakati nikitembea mitaani nikitazama mandhari ya jiji la Moshi nikajikuta nimetokea maeneo ya Chuo cha Ushirika Moshi, salalee kuna watoto wakali balaa na kilichonipeleka huko nikaghairi, naona kuna pisi zina viwango kiasi kwamba yule naeenda kujitambulisha kwao nighairi kwanza..
Picha zao tafadhali
 
Aiseee kaoe ushirika
 
Back
Top Bottom