Pole sana unatakiwa Uwe makini sana paleLeo nmeibiwa wallet kkoo nmekuja kushtuka sina wallet nipo dukani nataka kununua kitu
Sio muonekano wa ushamba hata uwe mjanja baunsa ,vaa begi halafu tembea barabara ile utafuatiliwa tu wapate angle nzr ..na begi vgm kwa mtu kujua kwa resi ya njia ilemkuu kwa vyovyote unaonekana mshamba, yani siyo mjanja wa town, mimi nikipita kariakoo hamna kibaka atakayejaribu kunisogelea kulingana na muonekano wangu
hilo ni moja, ninaend kariakoo nivae begi la nn?Sio muonekano wa ushamba hata uwe mjanja baunsa ,vaa begi halafu tembea barabara ile utafuatiliwa tu wapate angle nzr ..na begi vgm kwa mtu kujua kwa resi ya njia ile
Haha mkuu unafurahisha na nakupa ushauri na muonekano wako ukivaa begi usiweke vitu kwenye kimfuko kidogo ,sababu muonekano hautakusaidia wale hawakabi wanakuchomolea