Godwin peter
JF-Expert Member
- May 12, 2019
- 360
- 608
Mimi ni kijana wa miaka 25 mkazi wa Dar es Salaam. Kwa muda mrefu sijawa katika mahusiano nikiwa na deal tu na mishe zangu, sasa leo nimepata nafasi ya kula tunda la binti mmoja hivi ambaye amekuja hadi getho.
Lahaula uume umekataa kusimama kabisa mpaka anaondoka yaani aibu sana mimi mtoto wa kiume. Na hii sio mara ya kwanza ishawahi nitokea kama mara mbili. Pia nishawahi kwenda hospital (Regency) nikaandikiwa dawa inaitwa Tradafil ila sijaitumia kuogopa kutosimama bila dawa.
Nisaidieni wanajamii naaibika mimi.