Hypolite
JF-Expert Member
- Jul 6, 2017
- 235
- 484
Fanya aina ya mazoezi yanaitwa kejel exercise unaweza search YouTube kuona yanafanyikaje haya husaidia kukuza uwezo wa ume kusimama tena kwa muda mrefu.
Kwa namna yeyote ile usitazame pornography/avoid pornography.
Achana na matumizi ya sukari na vitu vyote vyenye sukari sukari.
Pata usingizi wakutosha angalau masaa 8.
Cha mwisho kabisa jarbu kumfollow Dr mmoja twitter handle yake inaitwa @amerix atakusaidia sana kua mwanaume rijali kweli kweli.