Godwin peter
JF-Expert Member
- May 12, 2019
- 360
- 608
Miaka 25 shida itakua mentally zaidi..
Fanya mazoezi ..Kula vizuri ..
Ukipata mdada mwambie aje kulala Hadi asubuhi ili usijipe presha ya kufanya kabla hajaondoka....
Anza kuamini huna tatizo litaondoka
Ulikuwa umevaa mpira
Ushawah kufanya na mwanamke had ukamumwagia mbegu???Uume hausimami mpira nntava
Kawasalimie wazeeUume hausimami mpira ntavaaje?
Kula ninakula vizuri tu,au kula wali kula siku mchana nalo pia nitatizo?
Hapanaa[emoji3582] napinga hojaKula ninakula vizuri tu,au kula wali kula siku mchana nalo pia nitatizo?
Sio kweliKula ugali uone tofauti
Eeeh hivyo eeeee?Sio tatizo lako peke yako,hilo ni tatizo la wanaume wengi siku hizi, ndo maana kila kona unakutana na matangazo ya dawa za kuongeza nguvu za kiume!!!
Uache ubishi sasaKula ninakula vizuri tu,au kula wali kula siku mchana nalo pia nitatizo?
Perhaps this is the! Best answer that he can get here. Am curious to know was the girl ready for the game? Ama was thinking of it ndani ya suruali afu akapona mnara haunasi akaaamua awe mpole kujipushia fedheha?Miaka 25 shida itakua mentally zaidi..
Fanya mazoezi ..Kula vizuri ..
Ukipata mdada mwambie aje kulala Hadi asubuhi ili usijipe presha ya kufanya kabla hajaondoka....
Anza kuamini huna tatizo litaondoka
Wanawake ni wavumilivu sanaEeeh hivyo eeeee?
#YNWA
Pole ni kawaida tu,tuliza saikolojia yakoMimi ni kijana wa miaka 25 mkazi wa dar es salaam...Kwa muda mrefu sijawa katika mahusiano nikiwa na deal tu na mishe zangu,sasa leo nimepata nafasi ya kula tunda la binti mmoja hivi ambaye amekuja hadi geto,lahaula uume umekataa kusimama kabisa mpaka anaondoka yaani aibu sana mimi mtoto wa kiume...Nahii sio mara ya kwanza ishawah nitokea kama mara ya pili,pia nishawah kwenda hospital (Regency) nikaandikiwa dawa inaitwa Tradafil ila sijaitumia kuogopa kutosimama bila dawa.Nisaidieni wana jamii naaibika mimi
Relax na ondoa hofu. Kwa miaka 25 naona sio muda wa kuanza kutumia dawa za hospitali. Naungana na walio kushauri kufanya mazoezi, kula mlo kamili hasa vitu kama matunda, karanga, tende, maziwa na vingine vinavyofanana na hivyo.Mimi ni kijana wa miaka 25 mkazi wa dar es salaam...Kwa muda mrefu sijawa katika mahusiano nikiwa na deal tu na mishe zangu,sasa leo nimepata nafasi ya kula tunda la binti mmoja hivi ambaye amekuja hadi geto,lahaula uume umekataa kusimama kabisa mpaka anaondoka yaani aibu sana mimi mtoto wa kiume...Nahii sio mara ya kwanza ishawah nitokea kama mara ya pili,pia nishawah kwenda hospital (Regency) nikaandikiwa dawa inaitwa Tradafil ila sijaitumia kuogopa kutosimama bila dawa.Nisaidieni wana jamii naaibika mimi