Leo nimeaibika sana, roho inauma

Fanya aina ya mazoezi yanaitwa kejel exercise unaweza search YouTube kuona yanafanyikaje haya husaidia kukuza uwezo wa ume kusimama tena kwa muda mrefu.

Kwa namna yeyote ile usitazame pornography/avoid pornography.

Achana na matumizi ya sukari na vitu vyote vyenye sukari sukari.

Pata usingizi wakutosha angalau masaa 8.

Cha mwisho kabisa jarbu kumfollow Dr mmoja twitter handle yake inaitwa @amerix atakusaidia sana kua mwanaume rijali kweli kweli.
 
Pole kijana fanya maandalizi mapema ya tendo hilo hisia zako na mawazo yako yaweke katika tendo hilo
 
Swali dogo hapa...

Je, ukiwa peke yako uume huwa unasimama?
Je, ukiwa unawaza mambo ya ngono au kutazama picha ya mwanamke mrembo, uume huwa unasimama?
 
Acha PUNYETO.
 
Wakati mwingine shukuru tu Mungu mkuu, hujui alikuepushia na kitu gani

Pia Wengine wamewekewa Tego mkuu ukifika mambo haisimami au unakorogewa mambo kabisa

Ama pia labda hukua unamfeel kivile huyo mtoto wa kike, cha kufanya tulia tafuta manzi nyingine test mitambo inakaaje
 
U-"sihahibike" tena mkuu.Siku nyingine fungia hata chelewa kwenye dushe linyooke.
 
He needs a lady ambaye atamuelewa tatizo lake, kisha huyo lady amjenge vzr kisaikolojia na ampe mbususu kisawasawa ndipo atakaa sawa.

Surbi nakupa hiyo task, go take care of him plz[emoji4]
Jamani mimi mkubwa sana kwake nipo napambana na vizee ! Yeah apate mwanamke wa kumuelewa! Halafu ameogopa bure tu..angeanza na romance kama dada gfoswn alivoshauri hapo mbele mambo yangejiset tu... Alipata hofu mapema
 
Tena ukiwa mkubws ndo vzr zaidi, hivi vidada fyatu vya siku izi ndiyo hovyo kabisa, tena wataishia kumtangaza alafu azidi kuchanganyikiwa mkaka wa watu.
 
Tena ukiwa mkubws ndo vzr zaidi, hivi vidada fyatu vya siku izi ndiyo hovyo kabisa, tena wataishia kumtangaza alafu azidi kuchanganyikiwa mkaka wa watu.
Lol I'm too old for that... ..... Halafu bado mdogo hili tatizo litamuathiri sana kisaikolojia! Au amezoea punyeto??
 
Lol I'm too old for that... ..... Halafu bado mdogo hili tatizo litamuathiri sana kisaikolojia! Au amezoea punyeto??
Nyeto mm nimepiga since primary mpaka nakuja kula mbususu for first nilivyomaliza form six na niliifakamia vzr tu[emoji23]

Kupiga nyeto ni dalili uko active.

Huyu ukisoma nyuzi zake za nyuma utagundua kuna kitu hakiko sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…