Leo nimeamka kufanya mazoezi ya kukimbia ila yaliyonikuta acheni tu!

Leo nimeamka kufanya mazoezi ya kukimbia ila yaliyonikuta acheni tu!

Sijafikaaa hata lugalo

Nkakumbuka tushike sana neno la Mungu


Nakunja kona ya kawe nkakumbuka math 2.4

Waovu watakimbia bila kukimbizwaa

Nimerudi zangu najimwagia maji ya upako

Asbh njema wapendwa
Mithali 28:1
 
Sijafikaaa hata lugalo

Nkakumbuka tushike sana neno la Mungu


Nakunja kona ya kawe nkakumbuka math 2.4

Waovu watakimbia bila kukimbizwaa

Nimerudi zangu najimwagia maji ya upako

Asbh njema wapendwa
una shida kwenye akili yako si bure
 
Mithali 28:1 inakuhusu🤣🤣
Hufai 😁😁

Screenshot_20240808_091451_Biblia na Sauti.jpg
 
Sijafikaaa hata lugalo

Nkakumbuka tushike sana neno la Mungu


Nakunja kona ya kawe nkakumbuka math 2.4

Waovu watakimbia bila kukimbizwaa

Nimerudi zangu najimwagia maji ya upako

Asbh njema wapendwa
Hahahahahahahahahahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahhaahahha

Tisha sanaaa
 
Sijafikaaa hata lugalo

Nkakumbuka tushike sana neno la Mungu


Nakunja kona ya kawe nkakumbuka math 2.4

Waovu watakimbia bila kukimbizwaa

Nimerudi zangu najimwagia maji ya upako

Asbh njema wapendwa
Mtu akikupiga shavu la kushoto wewe mgeuzie la kulia najua wewe ni mfuata maandiko na hili nalo utakuwa unalifuata, hilo sina shaka nalo. Sijui utakuwa umeshapigwa makofi mangapi mpaka saivi
 
Back
Top Bottom