Leo nimeamka na Mwanza Mwanza yaani vipi hapa

Asee nkadhan ni member wa January au March mwaka huu kumbe kamda kamepita duh Dunia ni ngumu kuielewa aswa
 
Unahitaji maombezi kuondoa hayo matakata kwa ubongo
 
Kila mwanaume rijali lazima asubuhi aamkie Mwanza Stendi kuu ya mabasi.

Hata kama siyo siku zote lakini kwa wiki nzima, inatokea hata mara 4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…