Leo nimeamka na Mwanza Mwanza yaani vipi hapa

Leo nimeamka na Mwanza Mwanza yaani vipi hapa

Asee nkadhan ni member wa January au March mwaka huu kumbe kamda kamepita duh Dunia ni ngumu kuielewa aswa
 
Kila mwanaume rijali lazima asubuhi aamkie Mwanza Stendi kuu ya mabasi.

Hata kama siyo siku zote lakini kwa wiki nzima, inatokea hata mara 4.
 
Back
Top Bottom