Leo nimeamka na uchovu wa hatari baada kupelekwa mputa mputa na single mother

Shida ni kwamba humu pamekua sehem watu wenye maujinga Yao kuja kuyaandika humu hii ni sababu humu hatujuan Kwa sura Wala majina Ivo mtu anachukua fursa kueleza ujinga ujinga Ili afurahishe nafsi yake

Sidhan kama ukichokiandika unaweza hadithia kwenye hadhara ya watu labda mnaoendana tabia na akil
 
Maisha hayahitaji usiriaz mkuu
 
Hana hisia na wewe hata kidogo, yaani Hana hisia kabisa plus vicoba,kausha damu, shikilia dela,chupi mkononi,kanga Moko na hao watoto ndo kabisaaaaa
 
Back
Top Bottom