Mr the dragon
JF-Expert Member
- Apr 14, 2017
- 1,996
- 3,924
Hatujagongana na mzee sema nawaona wamekengeuka sana.Itakua we na mdingi ajali ya uso kwa uso imetokea. Siku nyingine umuonyeshe kabisa awajue wakwe zake
Basi waache kutuambia hatuna maadiliNg'ombe azeeki maini
Umewachambua vizuri mkuu ila binafsi ninaamini vijana wa sasa watakuwa na uafadhari kidogo kuliko hawa tulio nao.Hapa inafaa uwagawe kwa miaka waliozaliwa utapata picha nzuri zaidi, 1943-1949 hawa watu wameumizwa na miozi ya ukoloni mbaya kabisa, waliaminishwa elimu ni kuongea kiingereza tu, si haba lugha hiyo kwa waliobahatika kwenda shule waliijua shida yao kubwa walio wengi umachinoo umewaponza na hamna positivity waliojifanyia wenyewe na hata jamii yao kwa ujumla bora hata wasiokwenda shule. Wazawa wa 1950-1959 uwii!! hapa ndipo janga lilipo lala na kuamkia yaani mafisadi yamo humu, mashuga daddy na mashuga mama humu humu, na hawa ndicho kizazi kinategemewa na jamii nyingi hususan mataifa yetu yaliyopata uhuru miaka ya sitini. Japo si wote ila kwa asilimia ni zaidi ya 80,tutakavyoendelea tutachambua watu kwa miaka yao ya kuzaliwa na mchango wao kwa jamii uwe hasi ama chanya.
Wazee wanazingua hawana maadili afu wanajikuta kutuambia sisi ndo hatuna maadili.Hapa inafaa uwagawe kwa miaka waliozaliwa utapata picha nzuri zaidi, 1943-1949 hawa watu wameumizwa na miozi ya ukoloni mbaya kabisa, waliaminishwa elimu ni kuongea kiingereza tu, si haba lugha hiyo kwa waliobahatika kwenda shule waliijua shida yao kubwa walio wengi umachinoo umewaponza na hamna positivity waliojifanyia wenyewe na hata jamii yao kwa ujumla bora hata wasiokwenda shule. Wazawa wa 1950-1959 uwii!! hapa ndipo janga lilipo lala na kuamkia yaani mafisadi yamo humu, mashuga daddy na mashuga mama humu humu, na hawa ndicho kizazi kinategemewa na jamii nyingi hususan mataifa yetu yaliyopata uhuru miaka ya sitini. Japo si wote ila kwa asilimia ni zaidi ya 80,tutakavyoendelea tutachambua watu kwa miaka yao ya kuzaliwa na mchango wao kwa jamii uwe hasi ama chanya.
Hapa ni makavu tu wanazingua sana hawa wazee.Wamekusikia mkuu naona leo umewapa makavu live