[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji4]Mkuu we kama cyo muoga basi umekua mtumwa wa busara...kama ni mimi walinzi ndio wangeamua
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Ahsante kwa kunisifiahicho ulichokifanya ndiyo unaitwa ukomavu wa fikra na umeonyesha uvumilivu ambao wengi wetu hatuna, hongera sana kwako.
Hahahaha.hahahahaahahaha, askari wanaolinda benki wangefanya yao!
Na mimi pia ni mwanamke sio mwanamme, hahahahahaha
Nimeeleza kuwa aliwahi kufika benki kabla hawajafungua, na mie nilifika dakika mbili kabla ya kufungua benki, walivyofungua benki yeye hakwenda kwenye foleni aliwekwenda moja kwa moja kwenye kile kitengo cha huduma kwa wateja alikaa muda kule, mie nilivyoingia benki nilienda moja kwa moja kusimama kwenye foleni nikiwa mtu wa kwanza, sasa iweje awe na haki ya kunipita kwa kuwa aliwahi kufika eneo la benki kabla hakujafunguliwa.!!!Inaonekana tu kua huyo mwanamke mwenzio ni mswahili.
Ila busara ni kuwapisha wale uliowakuta watangulie kwenye huduma kwanza,na hapo huyo dada ana nafasi yakutangulia kuhudumiwa kabla yako.
Kukuongeza busara zaidi,kwasisi watumia daladala ikiwa umepandia katikati ya safari na kusimama ndani ya daladala
Kisha ikatokea abiria mmoja aliekua kakaa kushuka,busara zaidi nikumuacha alietangulia kusimama kabla yako akae wewe uendelee kusimama.
umekuwa mzembe sana siku hizi Jose,unakuwa sana nyuma ya muda...kunani?Ulifanya Jambo jema sana mtani wangu...Unajua kukaa kimya ni busara.. Ugomvi hausaidii saa nyingine
Hicho ndicho nnachokisema,nikua tu huyo mdada amekua mswahili,angekuja kwa kauli nzuri akakueleza naamini ungemuelewa kwakua nikweli ametangulia kufika benki na wewe ulimuona.Nimeeleza kuwa aliwahi kufika benki kabla hawajafungua, na mie nilifika dakika mbili kabla ya kufungua benki, walivyofungua benki yeye hakwenda kwenye foleni aliwekwenda moja kwa moja kwenye kile kitengo cha huduma kwa wateja alikaa muda kule, mie nilivyoingia benki nilienda moja kwa moja kusimama kwenye foleni nikiwa mtu wa kwanza, sasa iweje awe na haki ya kunipita kwa kuwa aliwahi kufika eneo la benki kabla hakujafunguliwa.!!!
Hata hivyo nilimwacha tu apite sikutaka shariHicho ndicho nnachokisema,nikua tu huyo mdada amekua mswahili,angekuja kwa kauli nzuri akakueleza naamini ungemuelewa kwakua nikweli ametangulia kufika benki na wewe ulimuona.
Hahahaa usiwakasirikie MaCCM bure bwana nilikose zaidi ya bilioni sita na sio tirion, kinachotufanya tuonane wengine ma CCM, wengine maCHADEMA, wengine ma CUF na wengine ma NCCR na nk, ni njaa/uchuu wa madaraka tuuu ndugu, tukishashiba(kama kushiba kupo) huo ujinga utapungua sana, tunauabudu sana mkate, hata kama ni kwa gharama za maisha ya watu wengine kwa sababu tu ya mapote yaliyome fikrani mwetu.Kiongozi hizo takwimu wewe umezitoa wapi? au hiyo ni kwaa mjibu wa maccm!!!
hahaha wale walinzi wanaosinzia wangeniweka korokoroni masaa kadhaa kuna siku niliwahi kulianznisha upuuzi huohuo wa crdb na mifoleni na network halafu nimesimama masaa 5 kisha nafika mbele teller ananiambia kitambulisho hakitambuliki wakati ni cha kazi na ndio mshahara nilienda kuchukua hahahaha kisha nilikuwa na hangoner maana ilikuwa jumamosi hakuna aliyeweza kunitoa nje si askari wala wahudumu mpaka walinihudumia swain kwana hakuna viti pili network ilikata yaani saa 2 mpaka 6 halafu teller ananirudisha nyuma hahaha siku moja nilikutana naye mitaani akaniuliza eti mwanamke ninakuwaje mbabe namna ile ?/Leo sijisikii kuwasalimia, ngoja niende kwenye hicho nilidhamiria kuwashirikisha.
Leo asubuhi muda wa saa 2.28 nilifika eneo la benki ya CRDB Tawi la Nyerere hapa Mwanza. Ilikuwa imebaki kama dakika mbili hivi wafungue milango. Nilikuta baadhi ya wateja wengine wameshafika wanasubiria muda ufike waingie ndani ya Benki kwa ajili ya kupata huduma.
Milango ilivyofunguliwa nikawa wa kwanza kuingia na kwenda moja kwa moja kwenye foleni. Tellers wakati huo walikuwa hawajaanza kuhudumia walikuwa bado wanaweka weka mambo yao sawa.
Hamadi! nikamwona dada mmoja ambaye wakati milango imefunguliwa alienda kaunta (bila shaka alikuwa anaomba kujulishwa salio lake), akaja moja kwa moja akasimama mbele yangu. Nikamuuliza vipi dada mbona unanipita? akajibu kwa shari kubwa, "unasema ninakupita, naona umechanganyikiwa wewe, hivi unajifanya hukumbuki kuwa mimi ndie nimekutangulia kufika hapa kwenye jengo la Benki, wee si umekuja umenikuta hapo nje nasubiri milango ifunguliwe!, mimi na wewe na nani amempita mwenzie?"
Niliamua kukaa kimya sikumjibu, moyoni nikasema huyu dada anataka kunianzishia siku yangu vibaya. Nikamwacha akapita akahudumiwa baadae na mie nikahudumiwa.
Niliamua kukaa tu kimya, hivi ingekuwa ni nyie wenzangu Miss Natafuta, Joseverest na wengineo mngemfanya nini huyu dada ambaye ana onesha wazi kuwa ana kisirani cha asubuhi asubuhi.
Kipindi hiki watu wengi wanatembea huku vichwani mwao wamejawa na hasira sana, kwa hiyo ukim provoke tu kidogo wewe ndio unakuwa sehemu ya kupunguzia hasira zake za wiki nzima.
Mimi mwezi ulioisha kuna maza mmoja nilimkanyaga kwa bahati mbaya kwenye gari tusi alilonipa sasa "wewe kaka hebu toa mapumbu yako kwenye mguu wangu, hauoni umenikanyaga"
Niliona aibu sana.
hahahahah ila wewe naye hapana niko fresh kabisa, mkavuuuuu hahahahah
Ahsante emmyta, ndio hivyo tunakutana watu wa kila ainaPole sana. Kukaa kimya ni bonge la suluhisho. Ila kama ni mwenye akili timamu lazima baadae atajiuliza na nafsi yake itamsuta.
Ulifanya vizuri tunatakiwa tuwaelekeze utaratibu wale wote wasiojua utaratibu hasa tunapokua hizi sehemu za huduma za kijamii, kwani wengi wetu tunakua hatujui ila ujeuri tu umetujaa.na hii ndio busara haswaa ulifanya vyema kua kimya.Hata hivyo nilimwacha tu apite sikutaka shari