Mie ni mwana mama sio mwanamme bwana! hahahahaKusamehe ni miongoni mwa sifa kubwa za mwanaume aliyekamilika.
Sent from my HUAWEI CUN-U29 using JamiiForums mobile app
ππππππHahaha Chiki nilitaka kukuletea Nepi za kikubwa haha
Hapana sikuzisikia kabisa!Chiki kwani haujazisikia hizo taarifa before?
Baadae kazi zako zikipungua pungua rudia tena kusoma uzi wangu tafadhalialiye wahi kufika ndio awe wa kwanza kuhudumiwa na sio ukute watu wamefika bank ww uotee mlango ufunguliwe na kupanga folen wakat hata salam hujawapa
Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
Amen Chiki..! God bless you tooHapana sikuzisikia kabisa!
Kuna kipindi nilisikia tu kuwa Magonjwa Mtambuka katutoka, lakini siku za karibuni nimeona hapa JF.
Pole sana kwa kuzushiwa kifo, hiyo ni ishara njema kuwa utakuwa na afya njema na utaishi miaka mingi, ya Robert Mugabe ni cha mtoto wewe utapiga 100 na usheee
Ahsante sana, nahavache, haikambe, wajifya, wakondia, wasemezia, wakora, wabeja, urakoze, thank you very muchAmen Chiki..! God bless you too