Leo nimeanza siku yangu na balaa

Leo nimeanza siku yangu na balaa

Benki mnaenda Fanya nini wakati fahari huduma wapo?

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Kusamehe ni miongoni mwa sifa kubwa za mwanaume aliyekamilika.

Sent from my HUAWEI CUN-U29 using JamiiForums mobile app
Mie ni mwana mama sio mwanamme bwana! hahahaha
 
mbona sioni cha kukuarbia siku.kupitwa ni jambo la kawaida sana tena bora wewe umemuliza mbona anakupita.mimi ni mtu wa madharau sana.ningempuuza wala hata nisinge muuliza mbona amenipita.angebaki kujshtukia

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
aliye wahi kufika ndio awe wa kwanza kuhudumiwa na sio ukute watu wamefika bank ww uotee mlango ufunguliwe na kupanga folen wakat hata salam hujawapa

Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
 
Chiki kwani haujazisikia hizo taarifa before?
Hapana sikuzisikia kabisa!
Kuna kipindi nilisikia tu kuwa Magonjwa Mtambuka katutoka, lakini siku za karibuni nimeona hapa JF.
Pole sana kwa kuzushiwa kifo, hiyo ni ishara njema kuwa utakuwa na afya njema na utaishi miaka mingi, ya Robert Mugabe ni cha mtoto wewe utapiga 100 na usheee
 
aliye wahi kufika ndio awe wa kwanza kuhudumiwa na sio ukute watu wamefika bank ww uotee mlango ufunguliwe na kupanga folen wakat hata salam hujawapa

Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
Baadae kazi zako zikipungua pungua rudia tena kusoma uzi wangu tafadhali
 
Back
Top Bottom