Leo nimechekesha abiria kwenye treni

Leo nimechekesha abiria kwenye treni

Unajitusi ili uwafurahishe ngozi nyeupe,afrika inachafuliwa na watu wa mtumba Kama wewe.
 
Mzuka Wanajamvi,

Naingia tu kwenye treni nakaa kwa mbele yangu baguzi mzee akaanza kunishambulia Do you have ticket go back to Africa.

Nilimind lakini nimeshazoea nikamjibu I am not going anywhere I will stick my blackass here forever.

Abiria waliangua kicheko cha hatariii.
Hatari🤣
 
Fambaf zao WA DAN.. ni wabaguzi kijinga sana
 
Back
Top Bottom