win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 11,056
- 37,608
wacha nipooze tu ila mi sipendi uchafu, uzuri ukweli anaujua yeye😄 mi hata sitohangaika kujielezaUkikataa unaanzishiwa Uzi hujui mambo umepooza
wacha nipooze tu ila mi sipendi uchafu, uzuri ukweli anaujua yeye😄 mi hata sitohangaika kujielezaUkikataa unaanzishiwa Uzi hujui mambo umepooza
Bila kuswaki mimi mwenyewe nikiamka asubuhi huwa sijitamani kuna harufu flani ya kukera sana, imagine mwenzako inakuaje... pia ukiswaki inasaidia kupunguza pombe. So kituo cha kwanza huwa ni kuswaki.hivi mkimaliza kunywa pombe kabla ya kulala huwa mnaswaki?,, maana harufu ya pombe plus minyama choma alf ulale bila kusukutua😖😖 ukiamka asbh kinywa kinatema kama dampo
Nadhani hii kwa wale wanaojipenda na kuheshimu wenzao Ila wakileta utemi mbona utamkuta mtu kalala na nguo za kazini 🤣kwa wale walevi chakali ndo kamzozo maan hata ukisema umtengeneze itakua changamoto labda na yeye kama ataamua kurekebishika,, ila kwa hawa wa kawaida wanao kunywa kwa staha lazima atengenezeke maana akirudi kwenye ulabu akifika ni bafuni unamsisitiza kusugua ulimi, akitoka hapo ni kunywa maji mengi mixer ndimu kukata shombo, mbona anakaa fresh tu,, labda aanze kubeua😅😅😅😅
watu kutumia mouth wash ni mpka waandikiwe na daktari😅😅😅,,, wew tutaishi vizuri kabisaBila kuswaki mimi mwenyewe nikiamka asubuhi huwa sijitamani kuna harufu flani ya kukera sana, imagine mwenzako inakuaje... pia ukiswaki inasaidia kupunguza pombe. So kituo cha kwanza huwa ni kuswaki.
eh na wew upo kundi lipi mwanetu😎 au nianze kulala na mwiko😅😅Nadhani hii kwa wale wanaojipenda na kuheshimu wenzao Ila wakileta utemi mbona utamkuta mtu kalala na nguo za kazini 🤣
Unamchapa mwiko
Kwakwel mimi ni mtu tofauti hata niende sehemu mpya nikiagiza tu beer muhudum anashangaa ya kwako ?? Namwambia yeseh na wew upo kundi lipi mwanetu😎 au nianze kulala na mwiko😅😅
Kiwango chako cha Mshiko Fasta ni TZS 356900. Kujisajili piga *150*66#>3>1 au tumia App, upate mkopo wako bila dhamana yoyote. Vigezo na masharti kuzingatiwa.hivi mkimaliza kunywa pombe kabla ya kulala huwa mnaswaki?,, maana harufu ya pombe plus minyama choma alf ulale bila kusukutua😖😖 ukiamka asbh kinywa kinatema kama dampo
Unajua ukiwa umerudi umewaka ni kujitupa tu kitandani unashtuka asubuhi. Sasa wengi kitendo cha kutoka sebuleni uingie bafuni kuoga upige mswaki ni kipengele sana....watu kutumia mouth wash ni mpka waandikiwe na daktari😅😅😅,,, wew tutaishi vizuri kabisa
gentleman,Leo nilikunywa pombe sana napenda sna kunywa Kilimanjaro hau safari sasa Kuna demu mmoja jirani nikamtia sound akajaa aisee sio poa Leo nimejikuta na nguvu sio poa bao la kwanza nimelitoa dakika 40 aisee demu alikuwa anapiga kelele Ngoma imesimama sio poa nimepiga vitatu vya kuunganisha
Hadi demu ananitukana naomba uwe bwaanangu mara ooh baby na come aisee kakojoa sana karibu mara 3, nimekuja kujua kumbe Kilimanjaro Ina balaa nakumbuka niliwaigi kunywa smart gin nakumbuka nayo ilijipiga mzuka sana, aisee Wadau tujitahidi kwenye friji zetu tuwe na pombe hatw bia3 kama unapata mechi
