Leo nimechelewa kumaliza , nilikunywa pombe demu nikamliza

hivi mkimaliza kunywa pombe kabla ya kulala huwa mnaswaki?,, maana harufu ya pombe plus minyama choma alf ulale bila kusukutua😖😖 ukiamka asbh kinywa kinatema kama dampo
Bila kuswaki mimi mwenyewe nikiamka asubuhi huwa sijitamani kuna harufu flani ya kukera sana, imagine mwenzako inakuaje... pia ukiswaki inasaidia kupunguza pombe. So kituo cha kwanza huwa ni kuswaki.
 
Nadhani hii kwa wale wanaojipenda na kuheshimu wenzao Ila wakileta utemi mbona utamkuta mtu kalala na nguo za kazini 🤣

Unamchapa mwiko
 
Bila kuswaki mimi mwenyewe nikiamka asubuhi huwa sijitamani kuna harufu flani ya kukera sana, imagine mwenzako inakuaje... pia ukiswaki inasaidia kupunguza pombe. So kituo cha kwanza huwa ni kuswaki.
watu kutumia mouth wash ni mpka waandikiwe na daktari😅😅😅,,, wew tutaishi vizuri kabisa
 
eh na wew upo kundi lipi mwanetu😎 au nianze kulala na mwiko😅😅
Kwakwel mimi ni mtu tofauti hata niende sehemu mpya nikiagiza tu beer muhudum anashangaa ya kwako ?? Namwambia yes

Huogop kulewa ?

Namwambia kawaida.....

Nagonga vyupa vyangu vinne au tano na chupa mbili za maji na popcorn natoka nje narikwest niwahi kukojoa maake mkojo wa beer unaweza jikojolea 🤣
 
hivi mkimaliza kunywa pombe kabla ya kulala huwa mnaswaki?,, maana harufu ya pombe plus minyama choma alf ulale bila kusukutua😖😖 ukiamka asbh kinywa kinatema kama dampo
Kiwango chako cha Mshiko Fasta ni TZS 356900. Kujisajili piga *150*66#>3>1 au tumia App, upate mkopo wako bila dhamana yoyote. Vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
watu kutumia mouth wash ni mpka waandikiwe na daktari😅😅😅,,, wew tutaishi vizuri kabisa
Unajua ukiwa umerudi umewaka ni kujitupa tu kitandani unashtuka asubuhi. Sasa wengi kitendo cha kutoka sebuleni uingie bafuni kuoga upige mswaki ni kipengele sana....
 
gentleman,
ukinywa kitu chochote cha kuongeza mzunguko damu mwilini mwako kua na spidi, lazima uwe active kila idara.

na ili kunyandua vizuri mbususu, ni lazima mzunguko wa damu mwilini mwako uwe wa spidi na, upite mwilini kwa sipidi na kufika vizuri kwenye mshedede na kufanya mshedede uwe imara zaidi na kichwa cha mshedede kikiwa na hisia kama zote.

wanaotumia viagra au eneji hufanya hivyo ili kuongeza spidi ya mzunguko wao wa damu mwilini ambao hufanya uume kua imara zaidi wakati wa kugegedana.

uko sahihi kwamba,
ukiwa huna tatizo lolote la kiafya, na ukawa umekunywa pombe za kutosha, mshedede hua imara kwa muda mrefu sana wakati wa kunyandua, huku pia kufika mshindo huwa kunachelewa na kuko mbali kidogo.

well done,
unywaji wa pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yao.
Kunywa kistaarabu
 
Wanawake inawezekana kakuigizia mwa -mwi ili akutoe upepo vizuri.
 
Haya baada ya kupiga vitatu mfululizo uligundua nini zaidi ya kuongeza nguvu ya harufu ya pombe, kikwapa na kisamaki chumbani?
 
Shule na vyuo vimefungwa erhhhh.....mwendo riwaya tuuu kusadikika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…