Leo nimeenda ofisi za UTT, naona Watanzania wameanza kuelewa hii kitu

Leo nimeenda ofisi za UTT, naona Watanzania wameanza kuelewa hii kitu

glory to yhwh

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
1,026
Reaction score
1,401
Nyomi niliyoikuta hapo

Balaa na nusu

Yaani kama una kipato saivi na hausevu, hauwekezi jua tu unataka kutesa watu ukistaafu

Naongea na wewe uliyeajiriwa[emoji58]

Wafanyabiashara hawatakagi kusikia hizi mambo[emoji3], atakupa hesabu za china na namna anavoweza kuizalisha hiyo hela mara 7 kwa mwaka
 
Nyomi niliyoikuta hapo

Balaa na nusu

Yan kama una kipato saivi na hausevu, hauwekezi jua tu unataka kutesa watu ukistaafu

Naongea na wewe uliyeajiriwa

Wafanyabiashara hawatakagi kusikia habari hizi[emoji3], atakupa hesabu za china na namna anavoweza kuizalisha hiyo hela mara 7 kwa mwaka
Walikuwa wanaweka au wana_withdraw?
 
Kuna wengine wanaitwa FAS, kwa sisi tusiokua na akili za biashara Pesa zetu tunaweka kwenye hii mifuko.
NB:Niliwahi kujaribu biashara ya Bodaboda ila niliambulia majuto tu, biashara zinahitaji uangalizi wa karibu.
Hii ni private au kuna mkono wa serikali kama ilivo utt?
 
Mara nyingi iko nyomi hivyo hivyo almost in daily basis. so sidhani kama ni issue ya leo tuu hiyo uliyoshuhudia
Aisee!

Basi mi siku zote nawatumiaga mawakala wao, crdb

So leo ndo mara ya kwanza kufika ofisi zao direct

Wana customer care hao
 
Nyomi niliyoikuta hapo

Balaa na nusu

Yaani kama una kipato saivi na hausevu, hauwekezijua tu unataka kutesa watu ukistaafu

Naongea na wewe uliyeajiriwa

Wafanyabiashara hawatakagi kusikia habari hizi[emoji3], atakupa hesabu za china na namna anavoweza kuizalisha hiyo hela mara 7 kwa mwaka
Huo uwekezaji unawafaa wazee wasio na nguvu za kuhimili kashikashi za biashara na wale wenye billions of cash! Wewe kama una 10m sijui 20mil utasota sana
 
Hiyo mambo inawafaa sana watu ambao tayari wana hela mingi. Mfanyabiashara makini hawezi weka hela yake sehemu ambayo kwa mwaka mzima haiwezi kumzalishia hata 30% ya hiyo hela.
Acheni zenu, UTT sio sehemu ya wenye pesa tu, hata kukuza mtaji tupo huku
 
Huo uwekezaji unawafaa wazee wasio na nguvu za kuhimili kashikashi za biashara na wale wenye billions of cash! Wewe kama una 10m sijui 20mil utasota sana
Kumbuka hapa tunaongelea long term plans
Mambo vya miaka mitano au kumi huko mbele

Muajiriwa hiyo 10m au 20m anakuwa ameipata wapi in lumpsum apart from mkopo au kusevu kidogo kidogo

Na akishaipata anaweza akafanya biashara zipi akiwa kazini kwa watu huko

UTT ndo pa kuhifadhia sasa ili uifikishe huku ukila tufaida ambato si haba
 
Back
Top Bottom