Leo nimeenda ofisi za UTT, naona Watanzania wameanza kuelewa hii kitu

Leo nimeenda ofisi za UTT, naona Watanzania wameanza kuelewa hii kitu

Watalia watu sio muda na hiz Kalyinda za serikali.. kama ccm inachota pesa bima ya afya, sipati picha hizo utt
Umewaza kama Mimi [emoji16]huwa naogopa Sana kuidai serikal, Hii Kesi huwez kushinda popote
 
Back
Top Bottom