glory to yhwh
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 1,026
- 1,401
Walikuwa wanaweka au wana_withdraw?Nyomi niliyoikuta hapo
Balaa na nusu
Yan kama una kipato saivi na hausevu, hauwekezi jua tu unataka kutesa watu ukistaafu
Naongea na wewe uliyeajiriwa
Wafanyabiashara hawatakagi kusikia habari hizi[emoji3], atakupa hesabu za china na namna anavoweza kuizalisha hiyo hela mara 7 kwa mwaka
MixerWalikuwa wanaweka au wana_withdraw?
Hii ni private au kuna mkono wa serikali kama ilivo utt?Kuna wengine wanaitwa FAS, kwa sisi tusiokua na akili za biashara Pesa zetu tunaweka kwenye hii mifuko.
NB:Niliwahi kujaribu biashara ya Bodaboda ila niliambulia majuto tu, biashara zinahitaji uangalizi wa karibu.
Mixer
Kuna wanaojiunga, withdrawal
Yan kila mtu alikuwa fomu mkononi[emoji3]
Hii iko chini ya ofisi ya Rais, Utt iko chini ya wizara ya fedha, mkono wa serikali upoHii ni private au kuna mkono wa serikali kama ilivo utt?
Aisee!Mara nyingi iko nyomi hivyo hivyo almost in daily basis. so sidhani kama ni issue ya leo tuu hiyo uliyoshuhudia
Ukishaona website ina extension ya ". go. tz" jua hyo ipo chn ya serikali ya Tz.Hii ni private au kuna mkono wa serikali kama ilivo utt?
Aisee!
Basi mi siku zote nawatumiaga mawakala wao, crdb
So leo ndo mara ya kwanza kufika ofisi zao direct
Wana customer care hao
Watalia watu sio muda na hiz Kalyinda za serikali.. kama ccm inachota pesa bima ya afya, sipati picha hizo uttWatz ni watu wa kwenda na upepo.....
Yutitii itagharamia uchaguzi....Watalia watu sio muda na hiz Kalyinda za serikali.. kama ccm inachota pesa bima ya afya, sipati picha hizo utt
Huo uwekezaji unawafaa wazee wasio na nguvu za kuhimili kashikashi za biashara na wale wenye billions of cash! Wewe kama una 10m sijui 20mil utasota sanaNyomi niliyoikuta hapo
Balaa na nusu
Yaani kama una kipato saivi na hausevu, hauwekezijua tu unataka kutesa watu ukistaafu
Naongea na wewe uliyeajiriwa
Wafanyabiashara hawatakagi kusikia habari hizi[emoji3], atakupa hesabu za china na namna anavoweza kuizalisha hiyo hela mara 7 kwa mwaka
Kwani UTT imeanza jana ama leo? Mpaka unasema wanaenda na upepo. Wapo tangu 2003.Watz ni watu wa kwenda na upepo.....
Acheni zenu, UTT sio sehemu ya wenye pesa tu, hata kukuza mtaji tupo hukuHiyo mambo inawafaa sana watu ambao tayari wana hela mingi. Mfanyabiashara makini hawezi weka hela yake sehemu ambayo kwa mwaka mzima haiwezi kumzalishia hata 30% ya hiyo hela.
Kumbuka hapa tunaongelea long term plansHuo uwekezaji unawafaa wazee wasio na nguvu za kuhimili kashikashi za biashara na wale wenye billions of cash! Wewe kama una 10m sijui 20mil utasota sana
Ukiwekeza UTT unazalisha faida ya 12% kila mweziHiyo mambo inawafaa sana watu ambao tayari wana hela mingi. Mfanyabiashara makini hawezi weka hela yake sehemu ambayo kwa mwaka mzima haiwezi kumzalishia hata 30% ya hiyo hela.