Mr Suprize JF-Expert Member Joined Dec 18, 2014 Posts 869 Reaction score 961 Apr 13, 2024 #21 Rabonn said: Watalia watu sio muda na hiz Kalyinda za serikali.. kama ccm inachota pesa bima ya afya, sipati picha hizo utt Click to expand... Umewaza kama Mimi [emoji16]huwa naogopa Sana kuidai serikal, Hii Kesi huwez kushinda popote
Rabonn said: Watalia watu sio muda na hiz Kalyinda za serikali.. kama ccm inachota pesa bima ya afya, sipati picha hizo utt Click to expand... Umewaza kama Mimi [emoji16]huwa naogopa Sana kuidai serikal, Hii Kesi huwez kushinda popote
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Apr 13, 2024 #22 Nawa~Zoom
Mr Suprize JF-Expert Member Joined Dec 18, 2014 Posts 869 Reaction score 961 Apr 13, 2024 #23 Emmahu said: Ukiwekeza UTT unazalisha faida ya 12% kila mwezi Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app Click to expand... Sio kwa mwez NI kwa mwaka Acha kupotosha[emoji23]
Emmahu said: Ukiwekeza UTT unazalisha faida ya 12% kila mwezi Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app Click to expand... Sio kwa mwez NI kwa mwaka Acha kupotosha[emoji23]
Mr Suprize JF-Expert Member Joined Dec 18, 2014 Posts 869 Reaction score 961 Apr 13, 2024 #24 Hivi Wana ofisi mikoani??
Jamesdominic JF-Expert Member Joined Nov 26, 2022 Posts 549 Reaction score 732 Apr 13, 2024 #25 Mr Suprize said: Sio kwa mwez NI kwa mwaka Acha kupotosha[emoji23] Click to expand... [emoji16][emoji26][emoji16][emoji16][emoji16][emoji851]kwamwaka? Hahahahahahahahahha ndo mana bakhressa ashobokei!.
Mr Suprize said: Sio kwa mwez NI kwa mwaka Acha kupotosha[emoji23] Click to expand... [emoji16][emoji26][emoji16][emoji16][emoji16][emoji851]kwamwaka? Hahahahahahahahahha ndo mana bakhressa ashobokei!.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Apr 13, 2024 #26 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw