Leo Nimefanya Makosa Makubwa Kwa Mpenzi Wangu

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
FANYA MAKOSA YOOTE LAKIN SIO KUMPA ZAWAD YA MAUA MSICHANA .......WA KINYAKYUSA

LEO KANITUMIA MESEG BABY SASA MBONA MBOGA ENYEWE CHUNGU AU NIMEKOSEA KUUNGA MWEH NINGEWEKA NA KARANGA ET..............[emoji3][emoji3]

NIKAMJIBU KYALA NNUNU ....... [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
hapana mkuu,huyo atakuwa si mnyakyusa..mana kwa jins navofahamu mbeya hayo mamboga yamejaa na watot wa kinyaki wanajua kupika ni hatar.hakiki vyeti vyake kam kweli......ni wa huko.
kyala akutule..
 
FANYA MAKOSA YOOTE LAKIN SIO KUMPA ZAWAD YA MAUA MSICHANA .......WA KINYAKYUSA

LEO KANITUMIA MESEG BABY SASA MBONA MBOGA ENYEWE CHUNGU AU NIMEKOSEA KUUNGA MWEH NINGEWEKA NA KARANGA ET..............[emoji3][emoji3]

NIKAMJIBU KYALA NNUNU ....... [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Tutake radhi mweeeehhhh mbona mnatunyanyasa hivyo sie wanawake wa kinyakyusa mweeehhh!!!
 
Back
Top Bottom