Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Sirudii tena huu upuuzi. Kwa mara ya kwanza tangu niijue hii dunia leo ndio nimefanya scrubb. Leo jioni niliingia saloon sijui mnaita baba shop nilienda kwa ajili ya kutengeneza nywele na ndevu. Baada ya kumaliza kunyolewa kinyozi akanishauri nifanye scrubb.
Basi nikaingia kwenye kijichumba, huko nikawakuta wadada wa3 warembo. Kidume nikakalishwa. Akaja m1 akaanza kunipaka aina ya mafuta lakini kama yana mchanga hivi. Akaanza kunichua sura, akaja mpaka kwenye kidevu, huku akiniambia una ndevu nzuri! Akaja kwenye masikio huko ndio ikawa shida. Aliendelea kunisugua sagua uso kidevu masikio na shingo huku akitumia mikono yake laini, mwenzenu nimepata shida.
Alipomaliza tu akanipeleka kwenye kijibomba sasa ni wakati wa kuoshwa. Mungu wangu, majaribu ni mtaji. Mrembo yule alishajua nipo kwenye hali gani akazidisha uchokozi, dah.
Mzee mzima nikafutwa na taulo nikapakwa after sheve kisha mafuta.
Sirudii tena huu upuuzi.