Leo nimefanya scrub. Mmh!

Leo nimefanya scrub. Mmh!

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
8,581
Reaction score
15,618
Sirudii tena huu upuuzi. Kwa mara ya kwanza tangu niijue hii dunia leo ndio nimefanya scrubb. Leo jioni niliingia saloon sijui mnaita baba shop nilienda kwa ajili ya kutengeneza nywele na ndevu. Baada ya kumaliza kunyolewa kinyozi akanishauri nifanye scrubb.

Basi nikaingia kwenye kijichumba, huko nikawakuta wadada wa3 warembo. Kidume nikakalishwa. Akaja m1 akaanza kunipaka aina ya mafuta lakini kama yana mchanga hivi. Akaanza kunichua sura, akaja mpaka kwenye kidevu, huku akiniambia una ndevu nzuri! Akaja kwenye masikio huko ndio ikawa shida. Aliendelea kunisugua sagua uso kidevu masikio na shingo huku akitumia mikono yake laini, mwenzenu nimepata shida.

Alipomaliza tu akanipeleka kwenye kijibomba sasa ni wakati wa kuoshwa. Mungu wangu, majaribu ni mtaji. Mrembo yule alishajua nipo kwenye hali gani akazidisha uchokozi, dah.

Mzee mzima nikafutwa na taulo nikapakwa after sheve kisha mafuta.

Sirudii tena huu upuuzi.
 
wenye ushuhuda endeleeni kuweka hapa watu tupate darasa tukijiandaa na sikukuu
 
Mwenge wa Uhuru uliwashwa
 
binafsi sipendi mwanaume anayefanya mascrub!unataka upate nini huko kwenye scrub !raha ya mwanaume awe na ngozi kavu kavu mixer na ndevu uchomwe chomwe kwa cheeks!sasa men kidevu lainiiii !pyeee !
mtakufa kwa miwaya shauri zenu endekezeni tu madude hayo!
 
Back
Top Bottom