Leo nimefanya scrub. Mmh!

Massage bei gani niweke bajeti week ijayo!!..
Kuna saloon flani maeneo ya kwa remmy pale naionaga nikatalii!..
Ulizia vizuri bei mkuu, usije kuishia kulia
 
Mbona mimi sikufanyiwa haya nayosikia humu Jf,nielekezeni huko nikahakikishe
 
Hutaki kufanya scrub au hutaki kushikwa na wadada wanaotega, em weka sawa hapo sijaelewa point
 
Hahhah mm siku yalinikutaga hivhv baad ya kunyoa kanilazimisha nifanye scrub nikasem isiwe kes nikaingia hiko kichumba mrembo akanivua shat nikashtuka san dah kilichotokea huko dah stak kuendelea
 
Hahhah mm siku yalinikutaga hivhv baad ya kunyoa kanilazimisha nifanye scrub nikasem isiwe kes nikaingia hiko kichumba mrembo akanivua shat nikashtuka san dah kilichotokea huko dah stak kuendelea
Twambie mkuu ili nasi tujifunze [emoji28] [emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…