Leo nimefanya scrub. Mmh!

Leo nimefanya scrub. Mmh!

Sirudii tena huu upuuzi. Kwa mara ya kwanza tangu niijue hii dunia leo ndio nimefanya scrubb. Leo jioni niliingia saloon sijui mnaita baba shop nilienda kwa ajili ya kutengeneza nywele na ndevu. Baada ya kumaliza kunyolewa kinyozi akanishauri nifanye scrubb.

Basi nikaingia kwenye kijichumba, huko nikawakuta wadada wa3 warembo. Kidume nikakalishwa. Akaja m1 akaanza kunipaka aina ya mafuta lakini kama yana mchanga hivi. Akaanza kunichua sura, akaja mpaka kwenye kidevu, huku akiniambia una ndevu nzuri! Akaja kwenye masikio huko ndio ikawa shida. Aliendelea kunisugua sagua uso kidevu masikio na shingo huku akitumia mikono yake laini, mwenzenu nimepata shida.

Alipomaliza tu akanipeleka kwenye kijibomba sasa ni wakati wa kuoshwa. Mungu wangu, majaribu ni mtaji. Mrembo yule alishajua nipo kwenye hali gani akazidisha uchokozi, dah.

Mzee mzima nikafutwa na taulo nikapakwa after sheve kisha mafuta.

Sirudii tena huu upuuzi.
Mkuu umeishia kati bwana hebu malizia hii episode.. Tufikirie kuweka bundle maana utorrent ipo tayari pamoja na pirateswbay
 
Mkuu umeishia kati bwana hebu malizia hii episode.. Tufikirie kuweka bundle maana utorrent ipo tayari pamoja na pirateswbay
Hahahhahah nilipokuwa natoka yule mdada akaniambia karibu tena. Hahhahah hanipati tena
 
Hanma. Nashukuru kulikuwa na tv ikionyesha game ya simba na green nini sijui. Kila nikijaribu kuangalia kwa ajili ya kupotezea ananigeuza shingo. Dah kweli shetani ana jinsia ya kike.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna Mdada huwa anawafanyia midume facial scrub maeneo ya Moshi stand ( juu ghorofani) na ana yako kubwa sana...,akiwa anamfanyia mwanaume hyo facial scrub,kisogo cha mwanaume anakiweka katkati ya kifua chake,wanaume wenzetu huwa wanalia kama watoto wadogo!
hahaha wanalia nini?
 
Hivi kushikwa kidogo tu unasimamisha dushetita je ukifanyiwa massage si utawabaka hao mabinti wachokozi.ndo maana mnyama simba akafia daraja la pili mechi ya jana
Mzima huyo akichelewa kusikia hisia basi lazima akimbilie.kwa mganga matomola au mihogo na nazi za bara barani zitahusika hapo[emoji85]
 
Back
Top Bottom