Leo nimefanya scrub. Mmh!

Leo nimefanya scrub. Mmh!

Scrub tu mnapiga kelele. Massage ndo kiboko unafanyiwa ukiwa huna nguo hata moja then unapakwa mafuta mwili mzima halafu mdada anakuchua taratiiibu kwa mikono laini anagusa sehemu zote.
Wakati huo yeye anakuwa kavaa. Massage unakaa au unalala. Hapo simwachi acha nifunguliwe kesi ya ubakaji. Yaani naked dushe nje afu niondoke bila kumgoga?

Massage inasaidia nini haswa? Ushamba mzigo jamani msinicheke
 
Sirudii tena huu upuuzi. Kwa mara ya kwanza tangu niijue hii dunia leo ndio nimefanya scrubb. Leo jioni niliingia saloon sijui mnaita baba shop nilienda kwa ajili ya kutengeneza nywele na ndevu. Baada ya kumaliza kunyolewa kinyozi akanishauri nifanye scrubb.

Basi nikaingia kwenye kijichumba, huko nikawakuta wadada wa3 warembo. Kidume nikakalishwa. Akaja m1 akaanza kunipaka aina ya mafuta lakini kama yana mchanga hivi. Akaanza kunichua sura, akaja mpaka kwenye kidevu, huku akiniambia una ndevu nzuri! Akaja kwenye masikio huko ndio ikawa shida. Aliendelea kunisugua sagua uso kidevu masikio na shingo huku akitumia mikono yake laini, mwenzenu nimepata shida.

Alipomaliza tu akanipeleka kwenye kijibomba sasa ni wakati wa kuoshwa. Mungu wangu, majaribu ni mtaji. Mrembo yule alishajua nipo kwenye hali gani akazidisha uchokozi, dah.

Mzee mzima nikafutwa na taulo nikapakwa after sheve kisha mafuta.

Sirudii tena huu upuuzi.
VIDEO Plz tuamini
 
Wakati huo yeye anakuwa kavaa. Massage unakaa au unalala. Hapo simwachi acha nifunguliwe kesi ya ubakaji. Yaani naked dushe nje afu niondoke bila kumgoga?

Massage inasaidia nini haswa? Ushamba mzigo jamani msinicheke
Kafanye massage utalia huko ndani ya chumba
 
duh !anakuingizaje mkono kifuani? jaman jaman ! nataman wanaume wanaofanya scrub niwashauri waongizane na wake zao !inaumiza sana jaman !na mlivyo na mihemko!!!!!!!!ptu
Hahaha ww utaka mdada wawatu atiwe makofi bure hata kama yupo kazini.
 
binafsi sipendi mwanaume anayefanya mascrub!unataka upate nini huko kwenye scrub !raha ya mwanaume awe na ngozi kavu kavu mixer na ndevu uchomwe chomwe kwa cheeks!sasa men kidevu lainiiii !pyeee !
mtakufa kwa miwaya shauri zenu endekezeni tu madude hayo!
Kwan miwaya ipo bebashop

Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
 
Massage bei gani niweke bajeti week ijayo!!..
Kuna saloon flani maeneo ya kwa remmy pale naionaga nikatalii!..
 
mimi nilinyoa nywele nikaambiwa naweza kufanyiwa masaji popote nitakapo ,,,,,,,,,hata nyumbani .Nikamueleza yule binti mimi nina familia akasema hata hotelini atanifanyia total body masaji.Mabinti wa saluni wanategemea wateja wawalipe ndio waishi mjini,,,,,be careful
 
Back
Top Bottom