Leo nimefukuzwa duka moja Kariakoo na mwenye duka mwenyewe kasema mimi namchunguza

eti 'Wakati napita na mzigo mbele yake nilimuona anashusha miwani akanitazama akavaa tena miwani nadhani amejifunza kitu leo maana kamzigo nilikonunua sio haba kwa ile jioni.'

unachukulia vipi watu humu ndani
 
Huu Ujumbe uwafikie vidada vinavyojudge watu kwa muoneokano maofisini,boss wake akikushobokea au ukitoa check pesa mingi ndipo uanza kushoboka
 
eti 'Wakati napita na mzigo mbele yake nilimuona anashusha miwani akanitazama akavaa tena miwani nadhani amejifunza kitu leo maana kamzigo nilikonunua sio haba kwa ile jioni.'

unachukulia vipi watu humu ndani
Kuwachukulia una maanisha nini?
 
HAhahaha
At lesst nimetoa stress jioni hii
 
NANUNUA,NAFUNGA NA KUSAFIRISHA BIDHAA KUTOKA KARIAKOO KWENDA MIKOA YOTE TANZANIA NA NCHI JIRANI.

HUDUMA ZA ZIADA
📌Nafuata,nafunga na kusafirisha bidhaa iliyokwisha kununuliwa Kariakoo kupitia mitandao kama fb na insta.
📌Nafanya ukaguzi na kuhakiki ubora wa bidhaa uliyonunua kariakoo kupitia mitandao kama fb na insta.
📌Nafanya malipo ya bidhaa uliyonunua kariakoo kupitia mitandao kama fb na insta baada ya kuhakiki na kukagua ubora wa bidhaa.
📌Nakusanya bidhaa,nazifunga kwa pamoja kisha nasafirisha kama mzigo mmoja kutoka kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na nchi jirani.

SIMU:0745645035 (PIGA/SMS/WHATSAPP)

"HUDUMA ZA HARAKA NA KUAMINIKA"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…