Leo nimefukuzwa kazi rasmi

Mliowai fukuzwa kazi hii inakuaje? sikua na savings, sikujiandaa!! Nasomesha na mke !!

Aisee nilipo hapa nacheka na kulia kwa wakat mmoja!!
Ulishawai pitia hii hali?

View attachment 2772266
Kama watoto wapo primary hamishia wote shule za serikali ila tu wawe chini ya class 4, kama ni sec basi watoe peleka shule ya day ya gharama nafuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…