Leo nimefukuzwa kazi rasmi

mke -ndio
watoto-ndio
kiasi-700,000/=
Mahali -Dar
Kama mtaa unaoishi unaruhusu, na mkeo sio sister do na ni muelewa, mpe 300K afungue genge, sina hakika na mtaji wa genge ni shingapi, ila huo unaweza saidia, na akipata duka la mangi akaomba kuweka genge pembeni inaweza kuwa nzuri zaidi.

Hii ni kuhakikisha familia inatengeneza kipato hata kama ni kidogo, kitakachowasaidia kwa mambo kama msosi huku wewe ukipambana kutafuta kazi nyingine.

Pole na kila la heri.
 
Umempa ushahidi mzuri
 
mke -ndio
watoto-ndio
kiasi-700,000/=
Mahali -Dar
Okay, kaa chini na mkeo kisha umahirikishe aseme nini anaweza fanya kisha mfungulie (napendekeza genge la mboga na nanya na matunda kidogo).
Baada ya hapo mwambie kwamba hiyo ndio pesa yako ya mwisho na akusaidie kuilisha familia alafu wewe uendelee kutafuta job.
 
Jamaa anazingua Kuna thread kasema malengo yake ni kutimiza mil 12 mwaka huu
Kama huna usingizi chukua kitabu ama Bible ujisomee sio kuleta thread za kikuda humu👌
🤣Itakuwa Boss aliinyaka Thread Yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…