Leo nimefukuzwa kazi rasmi

Kwani hukuziona dalili za kufukuzwa au ulikaza fuvu?
Kuna muda inabidi uache tu kazi,maana usipowawahi watakuwahi wao!
 
Una mke..??
Mna watoto..??
Una pesa ngapi kash..??
Unaishi wapi..??
Ebu kwanza jibu hayo maswqali hapo juu, kisha upate ushauri unao endana na aina ya familia ulionayo, mazingira uliyopo na pesa ulio nayo mkononi wakati huu.
Kweli mkuu ushakua babuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ashasema ana watoto na anaskmesha
 
MPYA HII,hapa mfanyabiashara na mtumiaji wa viazi mviringo,,,,,,,,,,(kiepe)
Msimu umewadia.tenaaaaaa,
KARIBU,mkoa wa
NJOMBE,kusini mwa Tanzania, ujipatie viazi mviringo aina zote,unazotaka wew kwa bei nafuu,kabs,....
Wewe dalali na mfanyabiashara mnakaribishwa,....
bei maelewano,
Mawasiliano 0620743697.
View attachment 2773022View attachment 2773023
 
Kwa tuliosemea Saikolojia na Kubobea nayo ukichanganya na ile ya Kuzaliwa nayo kwa Uandishi na Uwasilishaji wako huu umeamua Kuitunga tu hii Taarifa yako na imekaa Kinafiki na Kisanifu zaidi.
 
Pole mkuu,kawaida hiyo mimi nilikuwa salesman wa kampuni moja ya sigara hapa nchini
,kiliwaka 2013mke wangu akiwa na mtoto wa mwezi mmoja!Unga na vitu vingine muhimu ndani sina,kikawaka Mungu ni mwema ,babu yangu alinifundisha nikiwa bado mdogo kwamba ajira usiweke miguu yote ndani!Hivyo sikupata sonona kabisa.Nipo na nadunda tuu na mtoto yupo darasa la5sasa.
 

Sasa umemsaida kitu gani hapo chief?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…