Nashukuru Mungu Kwa rehema zake. Nipo wilaya moja ya Mkoa wa Simiyu Juzi nilisikia wanakijiji wanasema kuna Fisi hapa kijijini amekuja na tayari ameshakula mtoto alikuwa anaenda shule na kuumua. Baadae nikasikia amemuua ng'ombe na Kula utumbo.
Sasa Leo napiga zoezi amenifukuza kweli kweli nashukuru ingawa mzembe kukimbia nimejitahidi nimepona.
Sasa Leo napiga zoezi amenifukuza kweli kweli nashukuru ingawa mzembe kukimbia nimejitahidi nimepona.