Leo nimefukuzwa na Fisi, Nilikuwa napiga zoezi.

BUSAMUDA

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2014
Posts
612
Reaction score
358
Nashukuru Mungu Kwa rehema zake. Nipo wilaya moja ya Mkoa wa Simiyu Juzi nilisikia wanakijiji wanasema kuna Fisi hapa kijijini amekuja na tayari ameshakula mtoto alikuwa anaenda shule na kuumua. Baadae nikasikia amemuua ng'ombe na Kula utumbo.
Sasa Leo napiga zoezi amenifukuza kweli kweli nashukuru ingawa mzembe kukimbia nimejitahidi nimepona.
 
Ujafafanuwa fisi mtu au fisi mnyama?
 
Nashukuru Mungu Kwa rehema zake. Nipo wilaya moja ya Mkoa wa Simiyu Juzi nilisikia wanakijiji wanasema kuna Fisi hapa kijijini amekuja na tayari ameshakula mtoto alikuwa anaenda shule na kuumua. Baadae nikasikia amemuua ng'ombe na Kula utumbo.
Sasa Leo napiga zoezi amenifukuza kweli kweli nashukuru ingawa mzembe kukimbia nimejitahidi nimepona.
Wanaume wa mikoani wanaogopa fisi teh teh teh
 
Nashukuru Mungu Kwa rehema zake. Nipo wilaya moja ya Mkoa wa Simiyu Juzi nilisikia wanakijiji wanasema kuna Fisi hapa kijijini amekuja na tayari ameshakula mtoto alikuwa anaenda shule na kuumua. Baadae nikasikia amemuua ng'ombe na Kula utumbo.
Sasa Leo napiga zoezi amenifukuza kweli kweli nashukuru ingawa mzembe kukimbia nimejitahidi nimepona.
Mkuu upo sehemu gan Simiyu coz na mim npo humu na huwa napga zoez pia..tujuzane mkuu
 
-->>Kwani huko mikoani kuna wanaume basi au mifano tu...!
fisi unamkimbia namna hiyo?
ujinga wa fisi ukisimama na kuokota tawi la mti ukanyanyua juu ,linapita zake linajua mti.
 
We mzembe kweli sasa fisi anakukimbiza vipi Kulikuwa hakuna fimbo umkimbize siku nyingine akikukimbiza nipigie simu nije nikusaidie.
 
Nashukuru Mungu Kwa rehema zake. Nipo wilaya moja ya Mkoa wa Simiyu Juzi nilisikia wanakijiji wanasema kuna Fisi hapa kijijini amekuja na tayari ameshakula mtoto alikuwa anaenda shule na kuumua. Baadae nikasikia amemuua ng'ombe na Kula utumbo.
Sasa Leo napiga zoezi amenifukuza kweli kweli nashukuru ingawa mzembe kukimbia nimejitahidi nimepona.
We mwoga sana, fisi atakufukuza akihisi unamwogopa.

Miaka mingi, nikiwa JKT pale Makurupora nilionana na fisi uso kwa uso saa 10 alfajiri nikijongo kuelekea mjini.
Wanaofahamu Makutu, mbele ya kambi kuna jiwe kubwa sana lilizongukwa na vichaka(miaka hiyo,sijui sasa).
Pamoja na mshituko nikamkazia macho ,tayari kwa mapambano, na kutoonyesha kabisa kupanic.

Baada ya kutazamana na fisi huyo kwa sekunde kama 30 akaamua kuondoka mwenyewe na mimi kuendelea na safari yangu kuelekea Dodoma mjini.
 
Nashukuru Mungu Kwa rehema zake. Nipo wilaya moja ya Mkoa wa Simiyu Juzi nilisikia wanakijiji wanasema kuna Fisi hapa kijijini amekuja na tayari ameshakula mtoto alikuwa anaenda shule na kuumua. Baadae nikasikia amemuua ng'ombe na Kula utumbo.
Sasa Leo napiga zoezi amenifukuza kweli kweli nashukuru ingawa mzembe kukimbia nimejitahidi nimepona.
Mkuu hayo mazoezi unafanya ya nini sasa kama umemkimbia fisi!!ua unapunguza!!
 
Hayo mazoezi yalikuwa ya kuvua chup au ya kujilinda?
 
Fisi hawa wanao kulaga mizoga we mzima kweli au umeshafanyiwa mautundu
 
Haaaaaa fisi huyo ni fungo nae alikuwa anakata mbuga kivyake.angekuwa fisi saa hizi tungekuwa tunaandika RIP !
 
Back
Top Bottom