Nashukuru Mungu Kwa rehema zake. Nipo wilaya moja ya Mkoa wa Simiyu Juzi nilisikia wanakijiji wanasema kuna Fisi hapa kijijini amekuja na tayari ameshakula mtoto alikuwa anaenda shule na kuumua. Baadae nikasikia amemuua ng'ombe na Kula utumbo.
Sasa Leo napiga zoezi amenifukuza kweli kweli nashukuru ingawa mzembe kukimbia nimejitahidi nimepona.
Wanaume wa mikoani wanaogopa fisi teh teh tehNashukuru Mungu Kwa rehema zake. Nipo wilaya moja ya Mkoa wa Simiyu Juzi nilisikia wanakijiji wanasema kuna Fisi hapa kijijini amekuja na tayari ameshakula mtoto alikuwa anaenda shule na kuumua. Baadae nikasikia amemuua ng'ombe na Kula utumbo.
Sasa Leo napiga zoezi amenifukuza kweli kweli nashukuru ingawa mzembe kukimbia nimejitahidi nimepona.
Mkuu upo sehemu gan Simiyu coz na mim npo humu na huwa napga zoez pia..tujuzane mkuuNashukuru Mungu Kwa rehema zake. Nipo wilaya moja ya Mkoa wa Simiyu Juzi nilisikia wanakijiji wanasema kuna Fisi hapa kijijini amekuja na tayari ameshakula mtoto alikuwa anaenda shule na kuumua. Baadae nikasikia amemuua ng'ombe na Kula utumbo.
Sasa Leo napiga zoezi amenifukuza kweli kweli nashukuru ingawa mzembe kukimbia nimejitahidi nimepona.
Kama ambavyo kuna ndovu bia, fisi pia ni pombe ya kienyeji MeatuUjafafanuwa fisi mtu au fisi mnyama?
We mwoga sana, fisi atakufukuza akihisi unamwogopa.Nashukuru Mungu Kwa rehema zake. Nipo wilaya moja ya Mkoa wa Simiyu Juzi nilisikia wanakijiji wanasema kuna Fisi hapa kijijini amekuja na tayari ameshakula mtoto alikuwa anaenda shule na kuumua. Baadae nikasikia amemuua ng'ombe na Kula utumbo.
Sasa Leo napiga zoezi amenifukuza kweli kweli nashukuru ingawa mzembe kukimbia nimejitahidi nimepona.
Mkuu hayo mazoezi unafanya ya nini sasa kama umemkimbia fisi!!ua unapunguza!!Nashukuru Mungu Kwa rehema zake. Nipo wilaya moja ya Mkoa wa Simiyu Juzi nilisikia wanakijiji wanasema kuna Fisi hapa kijijini amekuja na tayari ameshakula mtoto alikuwa anaenda shule na kuumua. Baadae nikasikia amemuua ng'ombe na Kula utumbo.
Sasa Leo napiga zoezi amenifukuza kweli kweli nashukuru ingawa mzembe kukimbia nimejitahidi nimepona.