Leo nimefukuzwa na Fisi, Nilikuwa napiga zoezi.

-->>Kwani huko mikoani kuna wanaume basi au mifano tu...!
fisi unamkimbia namna hiyo?
ujinga wa fisi ukisimama na kuokota tawi la mti ukanyanyua juu ,linapita zake linajua mti.
hahaahahashash aiseeee
 
Wew upo Itilima
Iyo ya mtoto nimeshuhudia na style ya kuliwa ng'ombe pia nimeshuhudia ,ulaji ni ule ule tofauti ni mtoto alikuwa chali kipande cha mguu kimebaki kiuno kimeliwa utumbo upo nje, ng' ombe alikuwa kifudifudi, jiran na nilipopanga
Fisi wa huku ni wa ajabu sana na ni weng sana.
Huyu aliyekula mtoto tulimfukuza baadaye akapotea machaka madogo,akaibuka mshkaji anatembea anaenda zake, huyu aliyekula ng' ombe hatukumuona ila ni mzoga ulibaki tu, niliukuta wakat naenda kazin
Wafanyakazi huku, inabidi kuwa na moyo mgumu
 
Sijui nikaishi wapi, dar walisema wanaume tumekuwa suruali tu nikakimbilia mikoani, leo tena wanaume mikoani tumeitwa waoga tena nitahama
 
utakuwa mwanaume wa dar wewe, unaogooa fisi
 
Wanaume wa dar kwa ujuaj kwani dar kuna Fisi au ni panya tu zinawakimbiza.
 
Msimlaumu sana mleta mada jamani wasukuma ni kiboko kwa uchawi, na uchawi wao ni wa fisi.
Waweza fikiri mtu ana mbuzi kumbe ni fisi, sasa yawezekana huyo ni fisi mtu sio fisi mnyamaaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…