ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,879
- 41,971
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Uwezekano wa kuona mwaka Mpya ni mdogo sana. Mrudie Mungu. Fisi hafukuzagi binadamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Uwezekano wa kuona mwaka Mpya ni mdogo sana. Mrudie Mungu. Fisi hafukuzagi binadamu.
hahaahahashash aiseeee-->>Kwani huko mikoani kuna wanaume basi au mifano tu...!
fisi unamkimbia namna hiyo?
ujinga wa fisi ukisimama na kuokota tawi la mti ukanyanyua juu ,linapita zake linajua mti.
Wew upo ItilimaNashukuru Mungu Kwa rehema zake. Nipo wilaya moja ya Mkoa wa Simiyu Juzi nilisikia wanakijiji wanasema kuna Fisi hapa kijijini amekuja na tayari ameshakula mtoto alikuwa anaenda shule na kuumua. Baadae nikasikia amemuua ng'ombe na Kula utumbo.
Sasa Leo napiga zoezi amenifukuza kweli kweli nashukuru ingawa mzembe kukimbia nimejitahidi nimepona.
Yuko itilima, mi shuhuda wa matukio aliyoyatajaUtakuwa uko Meatu wewe!
Atakuwa nkoma tu kule kuna fisi sanaMkuu upo sehemu gan Simiyu coz na mim npo humu na huwa napga zoez pia..tujuzane mkuu
Fisi ni mwoga sana ila wanaume wa mikoani ni waoga zaidi ya fisi(·)///Si inasemwa kwamba fisi ni muoga sana?
anauaHivi fisi inaua ng'ombe eeh??
Sijui nikaishi wapi, dar walisema wanaume tumekuwa suruali tu nikakimbilia mikoani, leo tena wanaume mikoani tumeitwa waoga tena nitahama
(.)/// matumizi yake si sahihi kutumia humuFisi ni mwoga sana ila wanaume wa mikoani ni waoga zaidi ya fisi(·)///
utakuwa mwanaume wa dar wewe, unaogooa fisiNashukuru Mungu Kwa rehema zake. Nipo wilaya moja ya Mkoa wa Simiyu Juzi nilisikia wanakijiji wanasema kuna Fisi hapa kijijini amekuja na tayari ameshakula mtoto alikuwa anaenda shule na kuumua. Baadae nikasikia amemuua ng'ombe na Kula utumbo.
Sasa Leo napiga zoezi amenifukuza kweli kweli nashukuru ingawa mzembe kukimbia nimejitahidi nimepona.
itakuwa katokea dar, wanaume wa mikoani hawaogopi fisi, kwetu ni mrembo tuWanaume wa mikoani wanaogopa fisi teh teh teh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji26][emoji26]jamaniKama ambavyo kuna ndovu bia, fisi pia ni pombe ya kienyeji Meatu