Leo nimefurahi na kusikitika sana baada ya kuwakuta Watanzania wenzangu wanajadili suala la umeme

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
1. "Mmesikia hotuba ya Rais, eti kampa miezi sita umeme ukae sawa."

2. "Sasa miezi sita si mabwawa yatakuwa yameishajaa. Umeme utakuwa wa kumwaga."

3. "Wanatufanyia usanii tu."

3. "Lakini mbona maji tunayo mengi tu. Yamepungua maji wapi? Kwanini wasitumie maji ya baharini kujaza kwenye mabwawa, wameshindwa kuchimba mifereji?"

2. "Hawatumii maji ya chumvi. Labda haya ya kwenye maziwa."
 
Ujue huyo mama hata mi sijamuelewa unampaje mtu miezi 6 kumaliza tatizo?

Pale Tanesco naamini kuna mchezo upo ambao pengine naye ni mnufaikaji ndo maana katoa huo muda!
IMG_5257.jpg
 
Kwanini asingempa maharage na Makamba hiyo miezi sita? Kama wawili hao Ni wazuri mbona kawatoa kipindi hiki Cha mgao?
Sixty years after Independence tunaongelea mgao wa umeme?
DP w
Ngorongoro
Mgao wa umeme ndio vitaipasua CCM vipande vipande.
 
1. "Mmesikia hotuba ya Rais, eti kampa miezi sita umeme ukae sawa."
2. "Sasa miezi sita si mabwawa yatakuwa yameishajaa. Umeme utakuwa wa kumwaga."
3. "Wanatufanyia usanii tu."
3. "Lakini mbona maji tunayo mengi tu. Yamepungua maji wapi? Kwa nini wasitumie maji ya baharini kujaza kwenye mabwawa, wameshindwa kuchimba mifereji?"
2. "Hawatumii maji ya chumvi. Labda haya ya kwenye maziwa."
Ina maana mwakani mgao uko palepale. Maana kiangazi kipo pia.

Waziri atapewa miezi sita tena kuwaka mambo sawa.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Kaanza kwa kumsafisha Maharagwe
" wewe huna tatizo , source ni sisi wote" swali kwanini umewatoa? Kama wao sio chanzo. Je wamekuwa kafara ya kujisafisha kisiasa? Ili kuleta attention kwa watu kuwa wamewajibishwa. Na mkuu anaupiga mwingi.
Sasa sikia chanzo cha tatizo na suluhisho.
Tatizo.
1. Mashine zilikuwa hazikarabatiwi kwahiyo tunazima na kuzikarabati. Shiiiiti. Sababu hii ilitolewa na yule PCM wa secondary ya Tanga. Eti kipindi kile mashine zilikuwa zilazimishwa tu kutumika bila service.
2. Maji yamekauka na kupungua kina.
Sasa ukisikiliza sababu hizi na kusoma sura ya muongeaji unaona Tz bila serious action tuko kwenye mbio za kijiti ambapo mwenzetu ameanguka na tunasubiri ushindi kupitia mbio zake.
Miezi sita ya nini kama maji hayapo? Ubabaishaji kabisa na anayeambiwa ana salute. Miezi sita ya nini kama mashine zinazimwa makusudi zifanyiwe service. Huwa naishia kulaumu vyombo vya usalama haviko kwa viapo vyake na hukumu ya Mkuu wa Malimwengu haitawaacha salama bora ukatae kazi kuliko kudanganya umma. Jamani hata intel ya Jeshi haichukui hatua? Hata ya fedha? Neno linasema
"Azibaye masikio yake asisikie kilio cha maskini, Yeye naye atalia, lakini hatasikiwa."
Mithali 21:13
Kwahiyo miezi 6 ni kwa tegemeo la maji kiwa ya mejaaa au service kuwa imekamilika? Itokee service tayari mvua haijanyesha atatekelezaje?

Why Rwanda wanaenda mbele?
 
Hapo Kuna zengwe mtu anataka kupewa jumba bovu, makamba na maharage wananyota na huyu mama kweli, wamepelekwa kwingine, huku ukarabati unaendelea.
 
Kaanza kwa kumsafisha Maharagwe
" wewe huna tatizo , source ni sisi wote" swali kwanini umewatoa? Kama wao sio chanzo. Je wamekuwa kafara ya kujisafisha kisiasa? Ili kuleta attention kwa watu kuwa wamewajibishwa. Na mkuu anaupiga mwingi.
Sasa sikia chanzo cha tatizo na suluhisho.
Tatizo.
1. Mashine zilikuwa hazikarabatiwi kwahiyo tunazima na kuzikarabati. Shiiiiti. Sababu hii ilitolewa na yule PCM wa secondary ya Tanga. Eti kipindi kile mashine zilikuwa zilazimishwa tu kutumika bila service.
2. Maji yamekauka na kupungua kina.
Sasa ukisikiliza sababu hizi na kusoma sura ya muongeaji unaona Tz bila serious action tuko kwenye mbio za kijiti ambapo mwenzetu ameanguka na tunasubiri ushindi kupitia mbio zake.
Miezi sita ya nini kama maji hayapo? Ubabaishaji kabisa na anayeambiwa ana salute. Miezi sita ya nini kama mashine zinazimwa makusudi zifanyiwe service. Huwa naishia kulaumu vyombo vya usalama haviko kwa viapo vyake na hukumu ya Mkuu wa Malimwengu haitawaacha salama bora ukatae kazi kuliko kudanganya umma. Jamani hata intel ya Jeshi haichukui hatua? Hata ya fedha? Neno linasema
"Azibaye masikio yake asisikie kilio cha maskini, Yeye naye atalia, lakini hatasikiwa."
Mithali 21:13
Kwahiyo miezi 6 ni kwa tegemeo la maji kiwa ya mejaaa au service kuwa imekamilika? Itokee service tayari mvua haijanyesha atatekelezaje?

Why Rwanda wanaenda mbele?
Hata sisis chawa wa Mama hatumuelewi, ingawa inawezekana kuwa yupo sahihi Mama ili kuepusha hawa wajinga wasije m-Dkt Magufuli maana wao ndiyo wahusika wakuu.
 
Dah! Kwa kweli huenda maana si kwa kuyimba huko. Yaani anajiuliza swali la kwanini amemtoa halafu anajijibu
 
Back
Top Bottom