God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
hata hajui kutunga stori, kwa hiyo kama anajiandaa kwa raund nyingine bed ndo achat hapa?? huyu mwanamke bado anamwangalia akichat auHapa dalili za awali zinaonyesha hujatumia kinga..
Hahahaha ile ni story na mshikaji hii ndo yangu..na mkeo aliyekuwa anakushangaa unalala na panga kwa kuwa kwenu ukuryani ni jadi alikuwa wapi muda wote huo??! Au nayee kaenda kubandunanihiwa na ex wake??
Utakuwa umeshanyooka etiDogo! Unajua sikuelewi!
Anyway, ngoja ninyooke tu.