Leo nimegonga mke wa mtu

Leo nimegonga mke wa mtu

Had unatype ye yu wap wkt mda wot angekuw kakuganda?
 
Duh, kichwa cha habari nikatafsiri kimyakimya kuwa mkuu sasa umekuwa nyoka unagonga tu wenzio visigino. Aah kumbe ni mambo ya tafsida zenu. Kweli kiswahili kidumu. Upo safi kwa story
 
..na mkeo aliyekuwa anakushangaa unalala na panga kwa kuwa kwenu ukuryani ni jadi alikuwa wapi muda wote huo??! Au nayee kaenda kubandunanihiwa na ex wake??
 
Ha ha ha kaka wake za watu wajinga sana yaani hawa kwenye akil zao wanaamini kuwa waume zao hawana lolote kitandani kumbe sio kwa kuamini hivyo wanajirahishisha kwa vijana wadogo wakiamini kuwa vijana wanajua mambo yaani wake za watu ni wepes sana hata kuzidi kahaba.
 
..na mkeo aliyekuwa anakushangaa unalala na panga kwa kuwa kwenu ukuryani ni jadi alikuwa wapi muda wote huo??! Au nayee kaenda kubandunanihiwa na ex wake??
Hahahaha ile ni story na mshikaji hii ndo yangu
 
Najua unatambua fika mla nae hufanywaje so utembee na grisi maana wakikudaka utaomba poo
 
Back
Top Bottom